Naitaji Mke

Naitaji Mke

J627204

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
268
Reaction score
99
Habari marafiki naitaji mpenzi atakayekuja kuwa mama Watoto Wangu miaka siyo kigezo heshima Na ukweli ndicho cha muhimu mm nafanya kazi nimejiajiri naomba nayy awe amejiajiri au kaajiriwa asante karibu pm Kwa maeleweshano binafsi
 
Naimani mtaa una wake wengi, ni wewe kutulia na kulokota mama moja inayofaa!
 
Uwe unatembea tembea kwenye maeneo ambayo utawapata
 
Back
Top Bottom