Zee la mgundini
Member
- Mar 10, 2014
- 13
- 0
Ilikuwa siku ya jnne 18/03/2014 nilienda hospital na kupimwa malaria,ila sikuambiwa kama nina malaria au sina nikaandikiwa dawa inayoitwa GINSOMIN ya Korean Panax Ginseng Extract na dawa nyingine ni OLFEN - 100 SR, Tangu nimeanza kutumia leo ni siku ya nne lakini ata unafuu sijaupata tena mishipa ndiyo inauma sana kuanzia kwenye macho, mgongoni, mikononi na miguuni. Naomba kusaidiwa je haya ni malaria na kama malaria hizi ndiyo dawa zake. Naitaji msaada wenu.