Naitaji msichana au mwana mama wa kuchat nae mapenzi usiku saa za kulala

Naitaji msichana au mwana mama wa kuchat nae mapenzi usiku saa za kulala

Kuna uzi humu ndani wa makapuku, uzi wa JF Usiku wa manane, na uzi wa ku like yeyote, uzi wa walevi au wanywa pombe, uzi wa vyakula na uzi wa kutipia kituko chochote mtandaoni.... Tembelea hizo nyuzimuda wowote ule zina wachangiaji kamata mmoja mchat nae. Ukibahatisha mwanamama bahati yako.

Kasinde Platinum Matata.
Uzi unaitwaje
 
ipi ni zuri zaidi nataka watu wasiolala

Siwezi kuchagulia kitu kizuri maana siujui moyo wako na akili yako vinawaza na kutamani nini.

Nakushauri pitia nyuzi zote hapo juu itayokuswihi angalia memba anayechati muda mwingi kwenye huo uzi au muda ambao unautaka kisha nenda nae sambamba kutimiza lengo lako.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom