Naitaji msichana au mwana mama wa kuchat nae mapenzi usiku saa za kulala

Uzi unaitwaje
 
ipi ni zuri zaidi nataka watu wasiolala

Siwezi kuchagulia kitu kizuri maana siujui moyo wako na akili yako vinawaza na kutamani nini.

Nakushauri pitia nyuzi zote hapo juu itayokuswihi angalia memba anayechati muda mwingi kwenye huo uzi au muda ambao unautaka kisha nenda nae sambamba kutimiza lengo lako.

Kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…