ntra uterine Contraceptive device) hii inaweza kuzuia mimba mpaka miaka kumi...NA Hakikisha unafanya tendo la ndoa frequently na kwa kutumia timing za calendar...
Ikipita 12month hautumii contraception,tendo la ndoa unafanya frequently na mwenza wako basi hapo tutasema una tatizo au mwenza wako ndo anatatizo...
Je,ujawai kupata ugonjwa wa zinaa wowote maana kuna magonjwa mengine yanapanda kule kwenye mirija yanaiziba n.k
Usione haya toa historia yako vizuri kuhusiana na hayo maeneo nyeti ndo utapewa msaada kumeza inflazone hakutosaidia iwapo una Vaginal septum au una ashermans syndrome au una salipingitis etc
Pia mwambie mme wako nae akafanye sperm analysis mkileta uzembe utajikuta una enda kuzaa na mganga wa kienyeji huko...
Maranyingi nasumbuliwa na UTI na fangasi basi.naomba msaada tafazali,
Elezea hayo mambo yote niliyoyataja nimeona umehangaika sana naweza kukupa msaada nn cha kufanya maana nimew
Hizo hazina shida ulizotaja...
Je umewai kutumia contraception? kama jibu ni ndio umetumia njia ipi kuzuia mimba? na mwaka gani?
Isije kua bado inafanya kazi(nimeshakwambia kuna zinazofanya miezi minne,miaka 10 etc) afu wewe unahangaika tu na hizo dawa zako...
Je,ulienda hospital na Mmeo ikagundulika mmeo ndo hana shida?
Isije kua tunatwanga maji kwenye kinu kumbe mmeo hatoi sperms >2CC au concentration of sperms per ejaculate ni ndogo,au anatoa immatua sperms,au anatoa sperms ambazo hazina shape zuri...
Na hapa usidaganyike sijui mme wangu alishazaa kabla ya kuwe na wewe labda ukajiona wewe ndo unashida kumbe mmeo ndo shida ilipo...
Je,hospital ulienda hospital ya mkoa gani au ulienda pharmacy tu kununua dawa...
Tatizo lako halitopata ufumbuzi iwapo hauweki vutu vyako wazi...
Naomba nijibu issue mbili hizo hapo bila kuacha hata moja ukiona aibu vingine rusha PM...
Sema haya...
1.Umewai tumia njia ya uzazi wa mpango?
Kama ndio ni ipi na mwaka gani?
2.Je ulienda hospital ipi ulikopewa hizo dawa(kuna issue nyingine zinaitaji ma specialist wenye experience) na je, mmeo ulienda nae na alifanyiwa kipimo?