msambinungwa
Member
- Jun 28, 2014
- 97
- 13
Jamani nimani sinatatizo atakidogo, lakini sijashika mimba mwezi wa4 sasa, imflazone nimemeza.niambiani basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani nimani sinatatizo atakidogo,lakini sijashika mimba mwezi wa4 sasa,imflazone nimemeza.niambiani basi.
Jamani nimani sinatatizo atakidogo,lakini sijashika mimba mwezi wa4 sasa,imflazone nimemeza.niambiani basi.
kuna mti flan ivi jina limenitoka,majani yake yanastimulate oostrogen production,kuna wadada wawili umewasaidia na nimeshuhudia,ngoja niulize nitarudi.
ntra uterine Contraceptive device) hii inaweza kuzuia mimba mpaka miaka kumi...NA Hakikisha unafanya tendo la ndoa frequently na kwa kutumia timing za calendar...
Ikipita 12month hautumii contraception,tendo la ndoa unafanya frequently na mwenza wako basi hapo tutasema una tatizo au mwenza wako ndo anatatizo...
Je,ujawai kupata ugonjwa wa zinaa wowote maana kuna magonjwa mengine yanapanda kule kwenye mirija yanaiziba n.k
Usione haya toa historia yako vizuri kuhusiana na hayo maeneo nyeti ndo utapewa msaada kumeza inflazone hakutosaidia iwapo una Vaginal septum au una ashermans syndrome au una salipingitis etc
Pia mwambie mme wako nae akafanye sperm analysis mkileta uzembe utajikuta una enda kuzaa na mganga wa kienyeji huko...
Maranyingi nasumbuliwa na UTI na fangasi basi.naomba msaada tafazali,
Elezea hayo mambo yote niliyoyataja nimeona umehangaika sana naweza kukupa msaada nn cha kufanya maana nimew
Jamani nimani sinatatizo atakidogo,lakini sijashika mimba mwezi wa4 sasa,imflazone nimemeza.niambiani basi.