Naitaka CHADEMA ya mwaka 2014 kurudi nyuma

Hawawezi kuonyesha ufisadi mpaka ufanye mkutano wa hadhara?
Huko Twiter, Facebook wanashinda wakifanya nini?

Vipi akina Matiko ,Heche ,Msigwa, Sugu wanafanya mikutano kila siku kwenye majimbo nao hawaruhusiwi kutaja ufisadi??
 
Mwenye masikio na amesikia. Hakuna ulilolibakisha, yote uliyosema ni kweli tupu.

Sasa hivi Cdm kimejionesha dhahiri ni chama cha kikanda na ni chama chenye migogoro na kesi zisizoisha.

Ikirud Cdm ya Dr Slaa, sidanganyi, nafufua kadi yangu. Nilikuwa mpz na mkereketwa sana wa Cdm kipindi hicho.
 
Hawawezi kuonyesha ufisadi mpaka ufanye mkutano wa hadhara?
Huko Twiter, Facebook wanashinda wakifanya nini?

Vipi akina Matiko ,Heche ,Msigwa, Sugu wanafanya mikutano kila siku kwenye majimbo nao hawaruhusiwi kutaja ufisadi??
hizo m4c unazozitaka zilikuwa zinafanyika twiter? Sugu alijaribu kuonesha mapungufu ya jiwe uliona kilichompata? usijifaye ujui ukweli jiwe akiacha watu waongee ana makando kando mengi sana
 
Big up mkuu
 
Unategemea nini? kama jiwe hataki kukosolewa ila anapenda atukuzwe kama yeye ni muumba
Unapoacha kutetea masilahi ya taifa na kuanza kutetea mabeberu, kwa sababu ya jiwe ,unamkomoa nani?
 
hizo m4c unazozitaka zilikuwa zinafanyika twiter? Sugu alijaribu kuonesha mapungufu ya jiwe uliona kilichompata? usijifaye ujui ukweli jiwe akiacha watu waongee ana makando kando mengi sana
Kwa nini usiyaseme hapa hayo makando kando?
 
We ni nani?
CHADEMA ya 2019 imewafanya mpeleke vijana wapumbavu msituni ili waje kuua watanzania wenzao kwenye uchaguzi.
Jiandaeni na CHADEMA ya 2019/2020.
 
Hata hao wakija wa 2014 bado utawatukana tu na kuwakashifu tu nyie munadogo
 
Sikiliza navyiangua kicheko cha hatarii ndege yetu kukamatwa sauz
 
Inaitaji pia hekima na Busara ya Chama Tawala ya miaka ya 2014 kwenda nyuma! Kupigania haki etc kunaendana na Chama tawala kuheshimu sheria!
 
Chadema ilishakufa tpkea Dr Slaa alipojiondoa
Kwa sasa ni ulaji tu,na wengine wameamua kula mwisho mwisho
Salumu Mwalimuanafanya harakati za chini kwa chini kumng'oa bosi wake ili apewe yeye u KM
Mwalimu alishatuhumiwa na sugu na msigwa(uzi upo humu) kwa kutamani,kuomba na kupokea rushwa ya milioni 20 na papa kwa kila muombaji wa ubunge viti maalum
Ingekua enzi ya slaa,huyo mwalimu saa hizi anaangua nazi kwao mchamba wima,lakini kwa kuwa ni mpambe wa mwenyekiti,na mwenyekiti hataki uchaguzi,watu kama hawa hawatoki mpaka chama kife kama TLP
 
Lakini bavichaaa hawatakuelewa
 
We ni nani? Kenge tu.
CHADEMA ya 2019 imewafanya mpeleke vijana wapumbavu msituni ili waje kuua watanzania wenzao kwenye uchaguzi.
Jiandaeni na CHADEMA ya 2019/2020.
Mabeberu mnaowatetea ,watawachagua 2020
 
Chadema ya 2014 waloondoka nayo akina Bob na kina dr slaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…