Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
- Thread starter
- #21
Hawawezi kuonyesha ufisadi mpaka ufanye mkutano wa hadhara?we jamaa boya sana unauliza maswali gani hivi mazingira ya kufanya siasa ya mwaka 2014 na 2019 ni sawa? hivi ujui kama vyama vya upinzani havifanyi mikutano ya hadhara kuonesha huo uovu wa serikali? kila ck usikii wapinzani wanashinda mahakamani kwa kesi za uchochezi? bichwa lako
Huko Twiter, Facebook wanashinda wakifanya nini?
Vipi akina Matiko ,Heche ,Msigwa, Sugu wanafanya mikutano kila siku kwenye majimbo nao hawaruhusiwi kutaja ufisadi??