Naitaka yeye ananikatalia - njooni tuzogoe!

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Leo siku imeanza vibaya na imeisha vibaya.
Kunyimwa inauma nyie πŸ˜” ANYWAY ; Jibu moja ya maswali haya tuzogoe.
  • Nini kimetokea wiki hii kikakufurahisha au kukukera?

  • Nyimbo unazozisikiliza on repeat wiki hii ni zipi?

  • Kwa wanaume, ulishawahi kutongozwa na mwanamke? na ulimkubalia au alikuogopesha ukapita vile?

  • Lini mara mwisho kunyimwa mizagamuano ulipomuomba bebi wako? na alikupa kisingizio gani?

  • Weekend hii uko wapi na unafanya nini?
 
Uoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…