Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #21
Ukishaoa au kuolewa ndiyo utaelewa, na mimi nilivyokua mdogo nilikua nashangaa ila kwa sasa nikiona inatokea, sikubaliani na hizo tabia ila "I understand"Mwanzo nilikua nashangaa kwanini walio oa wanachepuka, kumbe hawapendi.
Siku hizi waliokufa huwakati tena vikojoleo?Mungu nifundishe kunyamaza
Ngoja nikuite
Nimekuja 😀njoo nikutongoze
Lina makali au butu butu?Bado hujachelewa najitolea kukupa jembe ukalime
Tusipangiane ujue 🙄Acha kufikiria ngono upate nguvu za kuutawala ulimwengu wa roho
Ngono ni hatari kwa afya ya akili na mwiliTusipangiane ujue 🙄
Nchi inajengwa na wenye moyo na huliwa na wenye menoNi lazima tusimamie maadili ya Jf hatuwezi kuruhusu kila sekunde watu mnawaza ngono nchi hii itajengwa na nani? Sifurahii kabisa hizi mada labda kama utanipa nionje ndo nitakubaliana nazo
Nimenyimwa ukuni mamiiii, hela keshanipa kadi zake za benki hata sihitaji kumuomba.Nipo kwenye mshangao wa mwanamke unanyimwaje? Ama ulimaanisha kunyimwa hela Binti wa zamani ?
Kwa hiyo nikikupa uonje unakua Chief editor wangu wa post zangu za Ngono?Ni lazima tusimamie maadili ya Jf hatuwezi kuruhusu kila sekunde watu mnawaza ngono nchi hii itajengwa na nani? Sifurahii kabisa hizi mada labda kama utanipa nionje ndo nitakubaliana nazo
Afya si yangu au tunashare mkuu?Ngono ni hatari kwa afya ya akili na mwili
Mambo moto 🔥🔥🔥 mpaka nimeogopa, kula maisha Mangi 🙌Ngoja nikuite
Kila mwezi ni mwendo wa new ID sitaki kuzoeleka😂😂😂Mdogo wa mie waifu material imekuwaje ukabadili tena ID?
Kwa heka heka sikuwezi 🤣🤣🤣Kila mwezi ni mwendo wa new ID sitaki kuzoeleka😂😂😂
Ntapumzika ndoani😂😂Kwa heka heka sikuwezi 🤣🤣🤣