DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Leo siku imeanza vibaya na imeisha vibaya.
Kunyimwa inauma nyie π ANYWAY; Jibu moja ya maswali haya tuzogoe.
- Nini kimetokea wiki hii kikakufurahisha au kukukera?
- Jumamosi hii uko wapi na unafanya nini?
- Kwa wanaume, ulishawahi kutongozwa na mwanamke? na ulimkubalia au alikuogopesha ukapita vile?
- Lini mara mwisho kunyimwa mizagamuano ulipomuomba bebi wako? na alikupa kisingizio gani?
- Nyimbo unazozisikiliza on repeat wiki hii ni zipi?
Bibie jumamosi hii nipo hapa triple A hapa arusha nairobi road nilikuja kutuliza akili kama hatua ya kwanza kuelekea hanoi vietnam katikati ya mwezi wa nane..Leo siku imeanza vibaya na imeisha vibaya.
Kunyimwa inauma nyie ANYWAY; Jibu moja ya maswali haya tuzogoe.
- Nini kimetokea wiki hii kikakufurahisha au kukukera?
- Jumamosi hii uko wapi na unafanya nini?
- Kwa wanaume, ulishawahi kutongozwa na mwanamke? na ulimkubalia au alikuogopesha ukapita vile?
- Lini mara mwisho kunyimwa mizagamuano ulipomuomba bebi wako? na alikupa kisingizio gani?
- Nyimbo unazozisikiliza on repeat wiki hii ni zipi?
Acheni kuanalyze kila kitu, wengine tupo hapa for fun tu, hatuchukulii mambo that serious.Mimi huwa nakuwa the watcher utapost Sana thread za ngono ila baaadae utapotea mwenyewe likes and comments is nothing to you .
Alivyokuwa na mimba ya miezi sitaLini mara mwisho kunyimwa mizagamuano ulipomuomba bebi wako? na alikupa kisingizio gani?
Acheni kuanalyze kila kitu, wengine tupo hapa for fun tu, hatuchukulii mambo that serious.
Wote ambao bado hawajaingia wanajuaga hivyo.Loh! Kumbe kuna kunyimana huko ndani mimi nikajua muda wowote ukiitaka unapewa tuπ
Daktari siyo Funny ni funIkiwa upo for funny ndo unapost maudhui ya ngono ili upate likes and comments!?
Mimi ni the watcher , I'd zako kama Unique Flower , Nusrat n.k
Ngoja tuone consistence yako
Pole sana ila akirudi itabidi mpige na ya kufidiaππWote ambao bado hawajaingia wanajuaga hivyo.
baMtu alikua anasafiri, mimi nimechelewa kuamka ila bado nikamuomba anidinye cha kuniagia, akasema tukianza kupeana atachelewa atapishana na usafiri wake.
Nimeelewa ila kiroho kimeniuma π
SawaDaktari siyo Funny ni fun
Na mimi sipost chochote kwa ajili ya likes na comments ni wanajukwaa tu wanaelewa maandiko.
Umenikuta JF hii, na naamini utaniacha. Kaa kwa kutulia!
πππkijana wa hovyo sana weweKile kipindi cha chuo nimetoka zangu likizo nipo kwa mjomba huku nyanda za juu kusini.
Kwa ancle hapo kulikuwa na wapangaji wawili wamama wa makamo,wana mtoto mmoja mmoja.
Kakuwa maji yalikuwa ya shida mtaani,ancle alijenga tank kubwa maji yakitoka anatunza halafu anauza kipindi maji hayatoki. Alikuwa anajua kucheza na meter za kizamani maji yalikuwa yanatoka usiku tu,lakini bill ya mwezi inakuja elf3π
Kukawa kuna binti mmoja mrembo akawa anakuja mara kwa mara kuteka maji pale,mpaka akanifanya niwe nashinda bombani namsubiria. Akawa kazoeana sana na mama mmoja mpangaji. Nikaona isiwe case,nikampanga yule mama aniungishe kwa mtoto,kwa mbwembwe zote jirani akasema hatachomoa!
Siku zinapita namuulizia,vipi mtoto? Anasema alikuja mchana[muda ambao mimi sipo] anakuwa ananilaumu mimi kutokuwepo. Wekeend moja nikaamua kutokutoka ili nipate kuongea na mrembo,mama akasema kampanga jioni saa kumi na moja tukutane maeneo.. Nikajiandaa vocal fresh,saa kumi na moja simu ikapigwa njoo sehemu fulani- nilienda nikamkuta mama mtu jirani,mtoto mkali hayupo; "yuko wapi sasa?",mama mtu anasema tusubiri kidogo anakuja! Subiri subiri,mpaka giza linaingia hakuna mtu! Baadaye yule mama anasema "unajua vibinti visumbufu sana,achana naye huyu atakusumbua!,kwani mimi vipi"?
Kwakweli nlichoka! Yule mama hakuwahi kuongea na binti wala nini. Ilikuwa giza giza linaingia ikabidi nizuge kuwa wewe rudi nyumbani kwanza tutayajenga siku ingine. Nlipaishaππ
Lakini shangazi namimi naomba nionjeπ
Anajua moto unaomsubiri π€£Pole sana ila akirudi itabidi mpige na ya kufidiaππ
Inaonekana unamkamua sana shemeji akifika huko nje nguvu zishaisha hata kuchepuka itakuwa hachepukiAnajua moto unaomsubiri π€£
Hii story nikiimalizia italeta shidaπ ππππkijana wa hovyo sana wewe
Kabisa π―, kila mtu ajishindie mechi zakeNchi inajengwa na wenye moyo na huliwa na wenye meno
Mie tena na fins zangu zipo tayari, acha twende tukang'atwe na trigger fish kwenye coralsBibie jumamosi hii nipo hapa triple A hapa arusha nairobi road nilikuja kutuliza akili kama hatua ya kwanza kuelekea hanoi vietnam katikati ya mwezi wa nane..
Binti wa zamani natarajia uwepo wako..
niliwahi kupewa mistari na mu thailand moja, naomba nisiseme kilichoendelea!
Kipo mai, tena umenikumbusha. Hicho nakiweka pending, nitakitumia asubuhi πkwani hapo kwako chooni hakuna kile kibomba chetu pendwa,,chenye hutoa maji kwa kasi yake ya ajabu.....
Alichoka, mimba nyingine ngumu.Alivyokuwa na mimba ya miezi sita
Kwahiyo ukautafuna mshangazi ππHii story nikiimalizia italeta shidaπ π