KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Kwanza wale watu wana midomo midogo sana, wakiwa wanaongea wanaongea vzr sana halafu ni wazuri halafu wanapenda sana ngozi nyeusi.Mie tena na fins zangu zipo tayari, acha twende tukang'atwe na trigger fish kwenye corals.
Haya lete story za mu-thailand, asiwe lady boy tu
Hebu malizia story kwanza π π π , mbona umeishia hewani.Kile kipindi cha chuo nimetoka zangu likizo nipo kwa mjomba huku nyanda za juu kusini.
Kwa ancle hapo kulikuwa na wapangaji wawili wamama wa makamo,wana mtoto mmoja mmoja.
Kakuwa maji yalikuwa ya shida mtaani,ancle alijenga tank kubwa maji yakitoka anatunza halafu anauza kipindi maji hayatoki. Alikuwa anajua kucheza na meter za kizamani maji yalikuwa yanatoka usiku tu,lakini bill ya mwezi inakuja elf3π
Kukawa kuna binti mmoja mrembo akawa anakuja mara kwa mara kuteka maji pale,mpaka akanifanya niwe nashinda bombani namsubiria. Akawa kazoeana sana na mama mmoja mpangaji. Nikaona isiwe case,nikampanga yule mama aniungishe kwa mtoto,kwa mbwembwe zote jirani akasema hatachomoa!
Siku zinapita namuulizia,vipi mtoto? Anasema alikuja mchana[muda ambao mimi sipo] anakuwa ananilaumu mimi kutokuwepo. Wekeend moja nikaamua kutokutoka ili nipate kuongea na mrembo,mama akasema kampanga jioni saa kumi na moja tukutane maeneo.. Nikajiandaa vocal fresh,saa kumi na moja simu ikapigwa njoo sehemu fulani- nilienda nikamkuta mama mtu jirani,mtoto mkali hayupo; "yuko wapi sasa?",mama mtu anasema tusubiri kidogo anakuja! Subiri subiri,mpaka giza linaingia hakuna mtu! Baadaye yule mama anasema "unajua vibinti visumbufu sana,achana naye huyu atakusumbua!,kwani mimi vipi"?
Kwakweli nlichoka! Yule mama hakuwahi kuongea na binti wala nini. Ilikuwa giza giza linaingia ikabidi nizuge kuwa wewe rudi nyumbani kwanza tutayajenga siku ingine. Nlipaishaππ
Ila waombaji mna mbwembwe π πLakini shangazi namimi naomba nionjeπ
Na mimi nataka amalizie story tusikie ilikuwaje πππKwahiyo ukautafuna mshangazi ππ
funguka kiongoziMungu nifundishe kunyamaza
Hawa viumbe hawatabiriki, akiamua kuchepuka huwezi mzuia.Inaonekana unamkamua sana shemeji akifika huko nje nguvu zishaisha hata kuchepuka itakuwa hachepuki
Eeenhe kwahiyo ulizichapa πππ sana ππKwanza wale watu wana midomo midogo sana, wakiwa wanaongea wanaongea vzr sana halafu ni wazuri halafu wanapenda sana ngozi nyeusi.
Unataka niropoke, halafu tukiwa pearl club uniwekee ngumuEeenhe kwahiyo ulizichapa sana
Alikua na haraka, kagoma πDaaah inahuzunisha Sana.
Anapewa anaikataa ?
Hakuna kitu kama hicho buana πUnataka niropoke, halafu tukiwa pearl club uniwekee ngumu
acha kua slow wewe,mzungu sio mjinga πππΎKipo mai, tena umenikumbusha. Hicho nakiweka pending, nitakitumia asubuhi π
Prof jay-nang'atukaNyimbo unazozisikiliza on repeat wiki hii ni zipi?
π π Mungu nifundishe kunyamaza
Inapendeza π― πProf jay-nang'atuka
1. Jessica baio- Glad your are settlingNyimbo unazozisikiliza on repeat wiki hii ni zipi?
πΆπ΅ππ1. Jessica baio- Glad your are settling
2. Navy kenzo - Morning
Hii nyimbo huwa naikubali sana naweza kuisikiliza siku nzimaπΆπ΅ππ
I'm feeling like, ifike in the night nikuone
I'm feeling like, I'm gonna have it all in the morning ............
Ndo vitu vyako ndo maana unakaa muda mrefu bafuniππkwani hapo kwako chooni hakuna kile kibomba chetu pendwa,,chenye hutoa maji kwa kasi yake ya ajabu.....