Naitangaza rasmi Simba SC kuwa Bigwa wa TPL 2018/2019

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Kwa wale wasio fahamu matokeo ya mechi za leo

Coastal Union 1 Vs Simba Sc 2
Mtibwa Sugar 1 Vs Yanga 0

Baada ya mechi za leo msimamo ni kama unavyosoma hapo juu

Yanga ikiwa imebakiwa na mechi chache sana mechi 7. Huku Simba ikiwa na mamechi kibaaaao.

Kwa msimamo ulivyo,ili Yanga iwe bingwa inailazimu ishinde mechi zake zote ikiwamo mechi za Azam. Baada ya kufunga mechi zote iombee njaa kuu Simba Sc. Kwamba Simba hii hatari na tishio Africa bigwa mtarajiwa wa CAF Champions 2019/2020 ifungwe hivi:-

Ifungwe mechi 3 na kudroo 1
Ifungwe mechi 2 na kudroo 4
Ifungwe mechi 1 na kudroo 7
Isifungwe mechi na idroo 10

Jambo ambalo ni sawa na ngamia kupenya katika tundu la sindano

Kwa mazingira hayo natangaza rasmi Simba ni bingwa na TPL.

Yanga ikaze matako Azam Cup
 
Wapi watani zangu
🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸??
 
Mnyama keshabeba Ndoo, hao Wacongoman wa Jangwani waaanzishe bendi tuu hakuna namna.
 
Simba kafungwa goal nane tuu..na ndio anaongoza kwa goal difference akifuatiwa na Azam na yanga wa tatu.. yani chura karuhusu goal nyingi...

Hivyo basi kimahesabu Simba bingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…