Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1074339
Kwa wale wasio fahamu matokeo ya mechi za leo
Coastal Union 1 Vs Simba Sc 2
Mtibwa Sugar 1 Vs Yanga 0
Baada ya mechi za leo msimamo ni kama unavyosoma hapo juu
Yanga ikiwa imebakiwa na mechi chache sana mechi 7. Huku Simba ikiwa na mamechi kibaaaao.
Kwa msimamo ulivyo,ili Yanga iwe bingwa inailazimu ishinde mechi zake zote ikiwamo mechi za Azam. Baada ya kufunga mechi zote iombee njaa kuu Simba Sc. Kwamba Simba hii hatari na tishio Africa bigwa mtarajiwa wa CAF Champions 2019/2020 ifungwe hivi:-
Ifungwe mechi 3 na kudroo 1
Ifungwe mechi 2 na kudroo 4
Ifungwe mechi 1 na kudroo 7
Isifungwe mechi na idroo 10
Jambo ambalo ni sawa na ngamia kupenya katika tundu la sindano
Kwa mazingira hayo natangaza rasmi Simba ni bingwa na TPL.
Yanga ikaze matako Azam Cup
Msimu huu ni mwepesi kuliko uliopita ambapo timu haikua chini ya ZaheraView attachment 1074339
Kwa wale wasio fahamu matokeo ya mechi za leo
Coastal Union 1 Vs Simba Sc 2
Mtibwa Sugar 1 Vs Yanga 0
Baada ya mechi za leo msimamo ni kama unavyosoma hapo juu
Yanga ikiwa imebakiwa na mechi chache sana mechi 7. Huku Simba ikiwa na mamechi kibaaaao.
Kwa msimamo ulivyo,ili Yanga iwe bingwa inailazimu ishinde mechi zake zote ikiwamo mechi za Azam. Baada ya kufunga mechi zote iombee njaa kuu Simba Sc. Kwamba Simba hii hatari na tishio Africa bigwa mtarajiwa wa CAF Champions 2019/2020 ifungwe hivi:-
Ifungwe mechi 3 na kudroo 1
Ifungwe mechi 2 na kudroo 4
Ifungwe mechi 1 na kudroo 7
Isifungwe mechi na idroo 10
Jambo ambalo ni sawa na ngamia kupenya katika tundu la sindano
Kwa mazingira hayo natangaza rasmi Simba ni bingwa na TPL.
Yanga ikaze matako Azam Cup
Hii lazima iende FIFA wakajielezeNdio maana ile ikaitwa nchi ya India na hii inaitwa Tanzania! Huwezi kulinganisha India Vs Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app