usimamizi mbaya
Member
- Nov 3, 2024
- 55
- 92
CHADEMA imejengwa na kujengeka lakini kwa upande wangu naona kuna matatizo haya.
Wagombea wanaopendwa hawana fedha kitu ambacho huwanyima wagombea wazuri kupata nafasi na hatimaye kumpa nafasi hiyo mwenye pesa hata kama hakubaliki.
Hili hutokea kwenye chaguzi zote za serikali. Pia tatizo lingine ni kutokuwa na msimamo na kutowapa kipaombele wanachama wake wa muda mrefu kugombea.
Mf wakati wa kura za maoni utaona wanemuacha mwanachama kabisa wanampa nafasi mtu aliyshindwa kura za maoni huko CCM au ambaye hakujiunga uanachama japo miezi6 nyuma hapa namanisha aliyejiunga siku3kabla ya kura za maoni.
Hii inafanya kuonekana Chadema ni dhaifu na kuwa kama kichaka cha mijitu yenye tamaa kuja kujificha.