neno hilo nimeshalizoea mkuu yaani inanipa tabu sana kulisahau nakwambiaAisee we jamaa sema tu poa poa usiweke hilo jina
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]sawa MKUU.
He heee watu wamepinda mkuuNadhani kuna uzi humu uliletwa na mtu mwingine simkumbuki na yy eti anamindi matumizi ya Mkuu!
Hv mkuu ulishawahi kujiuliza kwann watu wanalitumia?
Nakuomba mkuu, ukiweka mada nzito km hii weka na nukuu ya maandiko!
Hivi hivi hutoeleweka mkuu
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Naitisha mgomo mkubwa na wa kishindo juu ya neno mkuu
Hili neno halina maana yeyote zaid ya kumutii ibilis yaan she
Biblia inapiga marufuku utumiaji wa neno MKUU
BIBLIA inasema MKUU ni ibilis mnyonya damu, mwovu aliyelaniwa mpotoshaji ambaye yuko dunian kupoteza watu wa MUNGU
kuanzia leo tusiwe tunatumia Hili neno
Huu mgomo uwe wa watu wote
Nalaan vikali utumiaji wa neno mkuu
LONDON BABY