Naitisha mgomo wa kutumia neno MKUU

Sasa si ungeweka neno la kutumia, au umeandika ilihal replacement yake huna.

Duu we mkuu ww
 
 
Kama MKUU ni Ibilisi Shetani basi kuna mashetani wengi!

Wakuu wa vyuo nao ni mashetani!
Wakuu wa mikoa!
Wakuu wa taasisi mbalimbali nk!
Duh hii ni hatari!

Hata Biblia unayosema kuna wakuu mule wengi sana, inamaa nao ni mashetani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…