Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Mkuu mimi pia ni mkulima wa mbaazi miaka yote nimefaidi ili kipindi cha Magu pato la mavuno halitoshi hata kulipa vibarua wa kuvuna achilia mbali gharama nyingine za uzalishaji. Tumenyooshwa haswa. Haahaaaaaaaa.... Pole sana mkuu
 
Hahaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Nimecheka sana hadi machozi yametoka...eti hiyo hela kama mumelipia twisheni ya maisha.....
 
Hahahaha.... what?
 
Hahahaha jamani story yako ina matukio ya huzuni ila unavyosimulia sasa dah inabidi tucheke tu.
Nimependa pale ulipopewa hela na kuambiwa usije sema hukusomeshwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji23]kweli mshua wako kauzu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…