Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Ninaendelea kugrow down.......acha wivu bana, story ya uongo ndio wachawi nyie, sema ukweli basi

sawa mkuu, story ya ukweli kabisa hata mimi nilikutana na jamaa wakati akiwa anatafuta hazina ya mjerumani, hapo roho yako nna imani imesuuzika...
 
Daah..stori yako ni moja ya inspiration asee..
 
Lete mkuu lete
 
Wengi wanaloga
 

Ninejikuta kutoa machozi yafuraha. Ahsante kwa simulizi hii hakika imenigusa.
 
Naam baraka za wazazi zina muongozo mzuri katika maisha.
 

Adi nimelia duh
 
Kulima mbaazi enzi za magu duh pole sana
 
Dah naendelea kupata somo japo pia nafurahisha na mbavu zangu maana najikuta nacheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…