Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Kwamba miaka yote ulikuwa wapi[emoji23] [emoji23]
 
Hiyo hela aliyoiba mzee ni shilingi ngapi?
 
Mkuu chuo ulienda. Lini? Coz ulisema ulilima mbaazi kipindi cha Magi probably ni kuanzia 2016 na uliendelea kusota.

2017 ndio nimeona habari za chuo? Au ulienda koz fup? Au kuna sehemu umesimulia habari za kurudi shuleni sijasoma??
akikujibu unitag, imenibidi nisome mara mbili nikajua sijaelewa
 
Kwamba dingi akumbuke yeye ndio alikupa nauli ya kuondokea nyumbani kwahiyo ya kurudia pia akupe[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana majibizano ya dingi na dogo
 
akikujibu unitag, imenibidi nisome mara mbili nikajua sijaelewa
Nimegundua wengi hamjaelewa hapo. Sikutaka kukazia saana maana halikuwa lengo langu. Labda nikwambie kwa kifupi:

Nilipomaliza chuo na kusota kitaa, ndipo niliongea na mshua. Kabla sijamwelezea msoto wake, akaanza kunisimulia maswaibu aliyokutana nayo akiwa kijana. Misukosuko yake hiyo, ndio hiyo nilikuwa nawaelezea nyie kwenye stori nakuipa jina la Safari yangu. Alafu mbona nimesema kuwa asilimia kubwa ni matukio ya mzee, matukio yangu katika story hayazidi 5%.

Ikitokea ukaniuliza tena, ni lini nilirudi shule, maana yake hujanielewa kabisa kwenye hiyo story.

Take the contents and lessons, leave the rest with me.
 
mkuu wa kaya binafsi nilielewa kila kipengere ila tatizo lilikuwa neno "KUMALIZA CHUO" hapa ndipo uliponiacha njia panda lakini nimekusoma vyema kabisa kiongozi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…