Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Duuuuuh, nimecheka eti huyu Mzee ujana wake inaonyesha aliulia dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
kuna mzee kule kariakoo niliwah mwoneshea heshima nkamwamkia cha ajabu aliitikia tu kwa kutikisa kuchwa.af wajanja wajanja knouma
 
Mkuu chuo ulienda. Lini? Coz ulisema ulilima mbaazi kipindi cha Magi probably ni kuanzia 2016 na uliendelea kusota.

2017 ndio nimeona habari za chuo? Au ulienda koz fup? Au kuna sehemu umesimulia habari za kurudi shuleni sijasoma??

Huyu mtu chuo alienda, kauzu aliyepitia msoto kwenye hayo masimulizi ni Dingi yake
 
Hapa ndipo huwa nawalaumu wanawake wote niliowahi kuwa nao.

Yaani walishindwa kunisumbua hadi niiende kwa "pyschologist" kama mtoa comment.

Hii hali hutokeaje mzee baba....unaugua ghafla au unazimia?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona unanishambulia hivo?
Wewe ndo unasema hayo yeye amesema alipewa hela ya chai!
Jifunze kubalanceπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Endelea kuwa na mm chief mpaka mwisho. Hii ni jamii forum. Nilishakutana na mtu aliyepost kuwa ni mkurugenzi wa kampuni ya maswala ya kilimo. Ila tulivyokutana live ndio nikajua kuwa anatamani kuwa mkurugenzi wa kampuni ya maswala ya kilimo.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Vizuri sana, story yako imenifanya nimfikirie kivingine fulani najua anahustle lakini kuna muda naona kama anachelewa. Ni mpambanaji kiukweli naona nimpe muda zaid by the way nalog out mara moja niwacheki wazee


Stay blessed.
Hahahahaahahahah!

Utachelewa mkuu, shauri yako!
 
Wooooh, somo zuri, kwa kweli umetufundisha, I wish mamangu angekuwepo leo....ningekaa nikaongea nae mawili matatu kama ulivyokuwa unaonagea na mshua wako but ndio hivyo hayupo......[emoji24][emoji24]
Pole sana, mola ampe pumziko jema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…