Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Mzee umenitoa machozi Sana Nimemkumbuka Baba Yangu Mzazi..

Mungu ampe kauli Thabiti!
Aliniambia mengi ila hakumaliza..
 
Biashara ya kilimo ni biashara kichaa kwa mtu mjanja uliyeelimika bora ununue mazao kuliko kulima
 
Biashar ya kilimo ni Biashara KICHAA bora ununue ukauze ww kwa akili yako nitajie wakulima 5 Walokua MABILIONEA hpa bongo 😂😂😂
 
Utasikia BIASHARA YA MATIKITI INALIPA Nyoo😏😏😏
 
Mkuu kilimo kinalipa, acha kuwakatisha watu tamaa, We unataka motivesheno spikaz wakose wadau?.
Kwa maana hii unashauri tuifute SUA?

Kilimo kimenitoa, Elewa kimenitoa from Hero to Zero.
Daaaadeki!!!!
Naomba abc za kitunguu maji
 
Mkuu Analyse umesema masomo ya liwaya (lugha) uliyakimbia lakini mbona riwaya hii umeiandika vizuri sana mkuu?
 
Mkuu kilimo kinalipa, acha kuwakatisha watu tamaa, We unataka motivesheno spikaz wakose wadau?.
Kwa maana hii unashauri tuifute SUA?

Kilimo kimenitoa, Elewa kimenitoa from Hero to Zero.
Daaaadeki!!!!
Katika kitu ambacho siwezi fanya, basi ni kumkatisha mtu tamaa. Mimi naongelea uhalisia wangu, pengine nilichoshindwa Mimi, wengine watakiweza tena kwa wepesi maana hatufanani mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…