Naitwa Elifuraha Lyimo; Natafuta kazi ya ualimu wa English Medium

Nickson Swai

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
597
Reaction score
549
Habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Arusha natafuta kazi ya ualimu wa English Medium pia uzoefu usiopungua miaka 4 nafundisha Mathematics,History,Sst,Civic and Moral,Kiswahili kwa anayejua mahali kuna nafasi naomba anisaidie 0714954609 au Email:elifurahalyimo98@gmail.com
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Ni kweli ila kupata ngumu kama ufahamiki na watu(connection)
Unaachaje fahamika kama ulikuwa kazini kisawasawaa?

Wanafunzi ndio humfahamisha mtu
Wenyewe wanakutaka, mwenye shule anakuwa hana jinsi anakutafuta.

Umefundisha miaka mingapi ?
Hukuwa hata na katution ukazalisha product zako?

Ulizalisha wangapi kwa miaka mingapi
Hiyo ndo hoja itakayokuuza
Lakini kuja hapa na maneno bila kuinyesha kazi zako
Utachemka arifuu
 
Unaachaje fahamika kama ulikuwa kazini kisawasawaa?

Wanafunzi ndio humfahamisha mtu
Wenyewe wanakutaka, mwenye shule anakuw
Lakini kuja hapa kuinyesha kazi zako
Utachemka arifuu
Mpaka saiv watoto wengi nilifanya kazi toka mwaka 2015 nna idadi kubwa ya watoto wamepita toka mwaka huu mwezi wa 5 tarehe 28 ndio sikua na kazi
 
Tuition nimefundisha sana lakini idadi ya wanafunzi niliokua nao haipungui 2000 sababu wengine wapo secondary saiv form 3,form 2,form 1,7,6
 
Habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Arusha natafuta kazi ya ualimu wa English Medium pia uzoefu usiopungua miaka 4 nafundisha Mathematics,History,Sst,Civic and Moral,Kiswahili kwa anayejua mahali kuna nafasi naomba anisaidie 0714954609 au Email:elifurahalyimo98@gmail.com
Kwa hiyo hiyo ndio ID yako ya humu JF?
 
Habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Arusha natafuta kazi ya ualimu wa English Medium pia uzoefu usiopungua miaka 4 nafundisha Mathematics,History,Sst,Civic and Moral,Kiswahili kwa anayejua mahali kuna nafasi naomba anisaidie 0714954609 au Email:elifurahalyimo98@gmail.com
kuna nafasi shule moja ipo kibaha ni english medium xo kama unahitaji kukuwekea nafas ni tsh 10000
 
Back
Top Bottom