Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
Ni kweli ila kupata ngumu kama ufahamiki na watu(connection)Mangi Mbona nasikia walimu wa hesabu ni mali sana
Unaachaje fahamika kama ulikuwa kazini kisawasawaa?Ni kweli ila kupata ngumu kama ufahamiki na watu(connection)
Mpaka saiv watoto wengi nilifanya kazi toka mwaka 2015 nna idadi kubwa ya watoto wamepita toka mwaka huu mwezi wa 5 tarehe 28 ndio sikua na kaziUnaachaje fahamika kama ulikuwa kazini kisawasawaa?
Wanafunzi ndio humfahamisha mtu
Wenyewe wanakutaka, mwenye shule anakuw
Lakini kuja hapa kuinyesha kazi zako
Utachemka arifuu
Tuition nimefundisha sana lakini idadi ya wanafunzi niliokua nao haipungui 2000 sababu wengine wapo secondary saiv form 3,form 2,form 1,7,6Mpaka saiv watoto wengi nilifanya kazi toka mwaka 2015 nna idadi kubwa ya watoto wamepita toka mwaka huu mwezi wa 5 tarehe 28 ndio sikua na kazi
Kwa hiyo hiyo ndio ID yako ya humu JF?Habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Arusha natafuta kazi ya ualimu wa English Medium pia uzoefu usiopungua miaka 4 nafundisha Mathematics,History,Sst,Civic and Moral,Kiswahili kwa anayejua mahali kuna nafasi naomba anisaidie 0714954609 au Email:elifurahalyimo98@gmail.com
Kwa hiyo hiyo ndio ID yako ya humu? We umeuliza ulikuwa wapi ndio nimekwambia hayo machache
kuna nafasi shule moja ipo kibaha ni english medium xo kama unahitaji kukuwekea nafas ni tsh 10000Habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Arusha natafuta kazi ya ualimu wa English Medium pia uzoefu usiopungua miaka 4 nafundisha Mathematics,History,Sst,Civic and Moral,Kiswahili kwa anayejua mahali kuna nafasi naomba anisaidie 0714954609 au Email:elifurahalyimo98@gmail.com
We uko wapi saiv tatizo sio hela je nafasi kamili tupate jobkuna nafasi shule moja ipo kibaha ni english medium xo kama unahitaji kukuwekea nafas ni tsh 10000