Naitwa Jeff

Habari za Asubuhi Ndugu zangu, mimi ni Mgeni katika hii forum
Naitwa Jeff kutoka Mbulu-Manyara.
wewe je?
Karibu Jf! Hulazimiki kuweka picha wala kutoa wasifu wako hapa. Natumaini umepata wasaa wa kupitia nyuzi mbalimbali na umeweza kubaini hilo. Hivyo unachoombwa sio lazima ukijibu au kubandika picha.
 
Asante sikujua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…