Naitwa Jeff

Karibu Jf! Hulazimiki kuweka picha wala kutoa wasifu wako hapa. Natumaini umepata wasaa wa kupitia nyuzi mbalimbali na umeweza kubaini hilo. Hivyo unachoombwa sio lazima ukijibu au kubandika picha.
Usimfundishe kijana ujeuri![emoji46][emoji46][emoji36][emoji36]

Kijana, weka picha yako tafadhali! [emoji16][emoji16][emoji3][emoji16]
 
Mgeni gani anajua kuquote?

Umeonaaaaaaaaaaaaaaa eeehhhh. Isije kuwa ni Chakubanga huyu

Karibu Jeff, humu ndani Kuna mengi. But zingatia "akili ya kuambiwa changanya na ya kwako"
Nahama CHADEMA rasmi, naanza kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli
Mimi siku hizi nimekuwa mgumu sana kuanza kumuambia mtu karibu JF bila kusoma comment zake japo kidogo.

Hapa aliombwa atume picha yake na kaoneshwa sehemu ya kutuma lakini akadai kuwa anatumia PC na anashindwa ku upload.

Pia mimi baada ya kupitia post kadhaa nikamuuliza aliandikie signature yangu hapa, hajanijibu.

Huyu sio mgeni bali ni mwenyeji mwenye ID mpya.
 

Huyu anapaswa kujua kuwa wa JF tofauti na wa kule utotoni. huku ukiikaribia tu Keyboard, watu wanakujua wewe nani.

Huyu ni expert mazee, yuko kwa job
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…