Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha yako kabisaHabari za Asubuhi Ndugu zangu, mimi ni Mgeni katika hii forum
Naitwa Jeff kutoka Mbulu-Manyara.
wewe je?
naweka kwa wapi?Weka picha yako kabisa
28Una miaka mingapi?
mimi natumia computer![]()
Fanya upesi kabla uzi wako haujafutwa.
Umeoa?
Sawa lakini usije kutufanyia kama ya Jeff mwenzio wa TMTmimi natumia computer
Hapana Bado sijaoaUmeoa?
Jeff wa TMT ndio yupi?Sawa lakini usije kutufanyia kama ya Jeff mwenzio wa TMT
Sawa lakini usije kutufanyia kama ya Jeff mwenzio wa TMT
Kuwa na subira ndiyo umefika leo, Jua likizama lazima aje huku kulala.Jeff wa TMT ndio yupi?
Okee..Hapana Bado sijaoa
Kubadilishana tu mawzo maana nimesoma post za watu wengi nikaona wamesaidika sanaUnachohitaji kujua humu kama mgeni ni nn!!!?
Ili uambiwe kisha uwe mwenyeji.