Naiwakilisha Tanzania kwenye shindano la kimataifa

Naiwakilisha Tanzania kwenye shindano la kimataifa

idrisouh

Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
12
Reaction score
5

Attachments

  • 22730225_1607375665990912_6647037443955210552_n.jpg
    22730225_1607375665990912_6647037443955210552_n.jpg
    25.7 KB · Views: 43
Isije ikawa ni kamtego kakutukamata masna siku hizi nasikia kuna hackers
 
Aisee 2013 halafu una comments nne? Nitajaribu tu kukupigia kura kama nitakumbuka kama wewe unaye ikumbuka jf wakati wa matatizo yako
 
Harafu ukisha zungukaaa baadae utakua na manufaa gani kwa taifa? But Hongera Sana mkuu.
Mie nina mradi wa kutunza mazingira, natengeneza mkaa unaotokana na taka ngumu. hivyo nimechagua kwenda kujifunza mbinu nzuri na zakisasa za uzaklishakji wa mkaa ili kulinda mazingira. lengo ni kujifunza wenzetu wanatunza vipi mazingira. ahsante.
 
Back
Top Bottom