Naj ni mwanamke mzuri sana

Huyo demu amepigwa pasi kwenye masaburi. Labda sura tu ndio nzuri ila kivutio pendwa cha utalii hana.


Ana kila kivutio kizuri mwilini, shepu lake ni zuri na sura pia inavutia hata maziwa yake hayajalala kama videmu vingine vya bongofleva waliochoka mapema.
 
Dah kweli kila mtu ana vigezo vyake....sasa hapo alichokuzuzua nini huyo demu zaidi ya hiyo Rangi inayommbeba.
 
Acha wivu
Nimuonee wivu kwa lipi labda??? Nina sura nzuri kumzidi nina umbo zuri kumzidi nina mguu mzuri kumzidi nina maisha yangu niliyoridhika nayo nina mume nina watoto na bado akisimama na mimi ni km atajichoresha

Ananizidi nywele tu ambazo mimi najikubali na kipililpili changu na nikitaka nibane km zake naweza ni swala la pesa tu

Nimuonee wivu kwa lipi hasa demu wenu mbaya macho yenu yana matege sio makengeza
 
Hisia ni muhimu pia, usiangalie tabia tu
 
Kumbe shida yako pesa
 
Weka sura yako tuione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…