mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Huyo demu amepigwa pasi kwenye masaburi. Labda sura tu ndio nzuri ila kivutio pendwa cha utalii hana.
Ana kila kivutio kizuri mwilini, shepu lake ni zuri na sura pia inavutia hata maziwa yake hayajalala kama videmu vingine vya bongofleva waliochoka mapema.