Naj: Toka Niachane nae Sijapata Mtu kama Mr Blue

Laki tu mpendwa, unapona dakika hyo hyo, we endekeza ubahili Itaku cost tena hyo lak kwa kuwa n wewe binamu

Mi labda nitoe hiyo pesa niombewe niiwe kama bakhresa hiv hiv tu hapana aisee,unataja kunipeleka kwa TB Joshua!!!!
 
Tatizo Blu ndo kamtoa Bikra hawezi msahau kamwe hata wakizeeka Blu akiomba gemu atapewa tu.
 

Ogopa sana mdada akisema hivyo, haswa mtu kama yeye
 




Hivi inamaana Jamaa aliishia kupga nae picha tu???
 




Mi naamini inawezekana jamaa alionjeshwa aisee
 
Hakuonjaa alikula mpaka akakinaifiwaa kabisa akatupa kulee!!!!!!zingekua zinabandikwa usoni angekua ana kila aina ya mbunyee

Hahaha umeniongezea siku zakuishi (happy)
 
Kuna mbunge mmja ivi muheshimiwa diamond alimla kwenye gari dah , yule mama sijui kama ndoa yake ilisalimik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…