kwa kuongezea, hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu...nimesahau ni Mithal ngapi.Neno la Mungu lasema; "Usikubali kushindwa na ubaya, bali ushinde ubaya kwa wema." - Warumi 12:21***Nakushauri uupitie mlango mzima wa 12, utapata amani ya moyoni, it teaches a lot on how to live with people, tena binadamu wenye maudhi!!!
Achana na roho ya kisasi, utajuta baadae!Alafu mbona unajifanya una uchaji wa Mungu na kumbe ....! Haijalishi mbaya wako alikukosea nini lakini hastahili kutishiwa kutolewa uhai wake. Huoni hata hatari ya kuja kuanika huu upuuzi wako hapa, kesho akauawa si utaambiwa ni wewe?Tuliza hasira zako, muombe huyo Mungu unayedai kumcha na tumia busara kidogo tu ulizopewa bure na Muumba wako.this time labda akimbilie machame.but ustaarabu nao una mwisho
kwa kuongezea, hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu...nimesahau ni Mithali ngapi.
najaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!
Mary, nashindwa kuelewa nini kinaendelea pamoja na jitihada zote za kutaka kujua.... A good fight or at least protection usually goes silently, lakini wewe naona unapublicise sana, is there a special reason for this?? It seems huyu mtu unayepambana naye ni mbaya lakini pia ni mvumilivu, kwani angekua master si ajabu ungeshakufa!!! hebu tujuze tena kwa kumtaja jina live, ni nani huyo? (jina halisi na si la JF) MTMNi halisi.maudhi,ubabe dharau,wwizi,utapeli ndo vinavyochochea.sijui kama mtamwona tena hapa jf!
kuna mod anawindwa hapa, jamani mods wangepewa ulinzi,lol
MG, kama ni yale mapenzi yetu ya kwenye pm si ungemchinjia tu huko huko chumbani ukanywa na kisusio?
mhh huyu mdada jamani mpaka mi ananishangaza kwa kweli hata kama ni vita ndo mbinu gani hizi.....kuna watu matatizo wanayatafuta kwa udi na uvumba hasaa!Mary, nashindwa kuelewa nini kinaendelea pamoja na jitihada zote za kutaka kujua.... A good fight or at least protection usually goes silently, lakini wewe naona unapublicise sana, is there a special reason for this?? It seems huyu mtu unayepambana naye ni mbaya lakini pia ni mvumilivu, kwani angekua master si ajabu ungeshakufa!!! hebu tujuze tena kwa kumtaja jina live, ni nani huyo? (jina halisi na si la JF) MTM
From the way I read you, you need God and if you don't believe God can free you of your revenge attitude and anger, then seek help from professional counselor. Usiingilie kazi ya Mungu, yeye anasema "kisasi ni juu yangu, mimi nitalipa..."
nakwambia hata wewe ungekasirika kuhusu haya mambo yaliyonipata.kahamia facebook na anaeneza sumu vibaya sana.yan me nakwambia huyu jamaa atanitambua safari hii.unajua amezoea.mwanamke wake wa kwanza alimfanyia vitu vibaya sana.me sikuwepo ila nilikuja simuliwa kuwa ex wake alimfanyia vitu vibaya sana na mpaka sasa ana kesi mahakamni.me siendi police wala nn namfundisha adabu mm mwenyewe.na hafanyi kazi anategemea kipato cha mke.this time atajua kuwa kumbe mwanamke naye ni binadamu.mabaunsa wangu wako tayari tayari just waitFrom the way I read you, you need God and if you don't believe God can free you of your revenge attitude and anger, then seek help from professional counselor. Usiingilie kazi ya Mungu, yeye anasema "kisasi ni juu yangu, mimi nitalipa..."
We kaka unajua mistari yote ya biblia?!"Wapenzi, msijilipizie kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, kisasi ni juu yangu Mimi, Mimi nitalipa, anena Bwana" Warumi 12:19
najaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!
mh! baby girl, upo kwenye mtihani mkubwa. njoo kwangu nitakusaidia. mimi ni counselor na mtaalamu wa mambo kama hayo, nitakushauri jinsi ya kuepuka such problemsnajaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!
When a woman is fade up there is nothing you can do about.....nakwambia hata wewe ungekasirika kuhusu haya mambo yaliyonipata.kahamia facebook na anaeneza sumu vibaya sana.yan me nakwambia huyu jamaa atanitambua safari hii.unajua amezoea.mwanamke wake wa kwanza alimfanyia vitu vibaya sana.me sikuwepo ila nilikuja simuliwa kuwa ex wake alimfanyia vitu vibaya sana na mpaka sasa ana kesi mahakamni.me siendi police wala nn namfundisha adabu mm mwenyewe.na hafanyi kazi anategemea kipato cha mke.this time atajua kuwa kumbe mwanamke naye ni binadamu.mabaunsa wangu wako tayari tayari just wait
We kaka unajua mistari yote ya biblia?!
si bora ningekuwa nakunywa ningepoteza mawazo.lkn natamani sana kama kungekuwa na ulimwengu mwingine ningeopt kwenda kuish huko coz naona kabisa nakaribia kupata kesi ya mauaji.nasikia harufu ya damu!eeh mungu nisaidie!