Najaribiwa sanaaaaaaaaaa!

Najaribiwa sanaaaaaaaaaa!

ahaaa,kama hivyo sawa. taratibu tu msije mkahamia kwa daddy eeh? sasa kijana wa mbagala (kule net hakuna since mabomu) ataweza maisha ya masaki sasa?
Hahhahah!!Kuhamia sio kuishi mpendwa!Baada ya mwezi tu tunahama zetu!
 
Haya mafumbo ya bi hindu na muhogo mchungu wengine hatuyafagilii ujue, au ni singo umetoa unataka tukuogozee maneno mengine?
 
You fall that quickly? I can't believe it.

Daughter, I beseech you to take your time for your own good. Learn more about him and ask all the relevant questions. Ask him about what he does for a living. You can't trust people nowadays. For all you know he could be an armed robber, a sexual predator, or a child molester.

Ask him if it is okay to run a comprehensive background check on him. Don't forget to ask him if he has good credit so you know what you are about to get yourself into financially. I don't want you to be his meal ticket.

Put his worldly knowledge to the test to see how broad his horizons are. It is always a plus to have a man who is worldly–wise.

Because I love your daughter, I'd say yes!
Trues love comes like the gushing of the winds in a hurricane. It sweeps all it finds on the way, whether you had sworn not to love again
or were just heartbroken. It takes the prepared and the passer-by. It has happened to me...to us, just let it be.
But because I love your daughter. I'd say yes!

I'd say yes to all questions you have for me
any query, worry or doubt u have of me
Because I love your daughter, I'd say yes!

A little comment on the worldly wisdom u talked abt,
I have Godly wisdom, and I believe it is far much more and better than any wisdom man can aquire here on earth
for it is written, "The fear of the Lord is the beginning of wisdom."

Thank you baba mkwe..here I am waiting for your vetting...
 
ahaaa,kama hivyo sawa. taratibu tu msije mkahamia kwa daddy eeh? sasa kijana wa mbagala (kule net hakuna since mabomu) ataweza maisha ya masaki sasa?

King'asti...nini tena mamii!?? Maisha ni ku-adapt!
 
Kwa kuwa mhusika ni memba hapa basi atakuwa ameshasoma kwa hiyo ujumbe uliokuwa unataka kumfikishia ameupata. Yaani kwenye hii thread kilichonivutia hadi nikaisoma yote nimependa babygal, Mentor na Mr Daddy wanavyochat tu. Mentor asante kwa vifungu vya biblia........kumbe nawe wamo?
 
Thanks kaka...Sivumi lakini nipo!!!lol
adhi dala...!
 
Kwa kuwa mhusika ni memba hapa basi atakuwa ameshasoma kwa hiyo ujumbe uliokuwa unataka kumfikishia ameupata. Yaani kwenye hii thread kilichonivutia hadi nikaisoma yote nimependa babygal, Mentor na Mr Daddy wanavyochat tu. Mentor asante kwa vifungu vya biblia........kumbe nawe wamo?
Mwenyewe nimemshangaa Mentor alivyo na vifungu kibao!!Heehehe tunafurahi kuona umefurahi!!
 
Umeamka salama kijana wa Mbagaraaa?!

Duh, nimeamka vyema swts...ila siku haikwenda vyema maana nimekuwa nikirefresh ma-page kuona unaingia sangapi! acha tu..huku kupenda kwa ghafla!!
itabidi uni-pm mobitel yako ili nikutafute utapokuwa hupatikani hapa maana duh!
well..jioni njema!!!
Mob love swts.
 
najaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!

kwakweli umekwenda mbali sana ficha upumbavu wako na sio hekima yako nimekufatilia kwa mda mrefu sana tread zako hapo na zimekuwa zikimlenga dr na yote unayoongea kadri siku zinavyokwenda inaonyesha ni uongo mana akuna hatua za kisheria ulizochukua dhidi yake zaidi ya kumchafua na kumtishia uhai wake tena hadharani ambalo ni kosa kisheria pls kama unatafuta mahali pa kupunguzia stress hapa jamvini sio mahala pake tafuta njia nyingine kumbuka unapojaribu kumchafua mwenzako ni unajichafua ww mwenyewe ipo siku ukweli utajulikana na jina lako/lake halisi yatajulikana utaweka/mtaweka wapi nyuso zenu tumia akili
 
mods pls kunahaja ya kuingilia kati huyu mary glory amegeuza mahala pakutangazia visasi vyake tena hadharani na anatishia kuua live hapa atafanya na ushahidi utakuja kuchukuliwa hapa apewe onyo
 
mods pls kunahaja ya kuingilia kati huyu mary glory amegeuza mahala pakutangazia visasi vyake tena hadharani na anatishia kuua live hapa atafanya na ushahidi utakuja kuchukuliwa hapa apewe onyo
Thanx.you dont know anything.na unaongea usichokijua.usinunue kesi tafadhali.kilcho ndani ya msitu usitake kukijua.pole na karibu tena
 
kwakweli umekwenda mbali sana ficha upumbavu wako na sio hekima yako nimekufatilia kwa mda mrefu sana tread zako hapo na zimekuwa zikimlenga dr na yote unayoongea kadri siku zinavyokwenda inaonyesha ni uongo mana akuna hatua za kisheria ulizochukua dhidi yake zaidi ya kumchafua na kumtishia uhai wake tena hadharani ambalo ni kosa kisheria pls kama unatafuta mahali pa kupunguzia stress hapa jamvini sio mahala pake tafuta njia nyingine kumbuka unapojaribu kumchafua mwenzako ni unajichafua ww mwenyewe ipo siku ukweli utajulikana na jina lako/lake halisi yatajulikana utaweka/mtaweka wapi nyuso zenu tumia akili
Sheria ipi unazumngumzia.nipe vifungu!
 
yaani leo nakumbuka jinsi ambavyo nilikuwa naandika huu ujumbe.nilikuwa nina hali mbaya sana.nimenyang'anywa kila kitu,mgonjwa na kumpoteza mwanangu ambae aliuliwa na mjumbe wa shetani.lkn Mungu ni mkubwa sana kwani alinisaidia sijawahi kuona.Walionifanyia ubaya wameaibika wao.wanatamani ardhi ipasuke waingie.hali zao mbaya sana.kila walichoniibia hata sijui kimeenda wapi.jamani malipo ni hapahapa duniani.usimtendee mtu ubaya kwani kuna malipo.loh!
 
Back
Top Bottom