Najaribiwa sanaaaaaaaaaa!

Nenda kanisani ukapate maombi na maombezi mkuu! Nenda fasta!
 
We Uporoto wewe! Mwenzio anahuzuni badala ya kumfariji! Huyo mjomba wako kiboko maana hilo jina alilowapa.
 
"Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, nisije nikakutenda dhambi." Zaburi 119:11
Safi sana!Vijana wengi wa kileo wanajua kuangalia movie tu!Hata vitabu tu hawasomi achilia mbali biblia!
 
akutendeae ubaya mtendee mema,
na siku zote nakuomba uwe na moyo kusamehe nawe ndo utasemehewa,
nina imani hakuna aliyekamilika tenda wema nenda zako malipo ni hapahapa dunian,
muombe sana mungu nia imani atakusaidiakukuondolea hiyo roho ya kulipiza kisasi,
kama unafikia hatua ya kusema waweza mwaga damu hapo ni pabaya zaid
 
pole pole dada, usirundike hasira damuni, sameheneni binadamu coz no one is perfect.
 
si bora ningekuwa nakunywa ningepoteza mawazo.lkn natamani sana kama kungekuwa na ulimwengu mwingine ningeopt kwenda kuish huko coz naona kabisa nakaribia kupata kesi ya mauaji.nasikia harufu ya damu!eeh mungu nisaidie!

Ikemee hiyo roho chafu !
Hutapata faida yoyote kwa kumtendea mabaya mwenzio.
Utaishia jera na kuacha ndugu zako wakiumia na utakuwa umeutia nuksi ukoo wako wote.
Kwanini uwaadhibu ndugu zako?
Kemea hiyo hali na utashinda!
 
Nadhani huyu ni Maniac! au ana Bipolar disorder sasa wadada dizaini hii wanaishiaga Mirembe au Isanga. Alaf anaonekana ni mdada hasiye na hiyana na ameshaumizwa mara nyingi na vijogoo.
 
Safi sana!Vijana wengi wa kileo wanajua kuangalia movie tu!Hata vitabu tu hawasomi achilia mbali biblia!

Thanks for the compliment though I hope wengi tupo hivi..I love reading, that is what makes great leaders.
Kuna mhenga aliwahi kusema, "Leaders are readers. The moment you stop reading, you stop leading."
Plus, knowledge is power...I love reading a lot my dear...all manner of literature..."widely and wildly"-in the words of the Kenyan Anti-corruption bureau chief, Dr. P L O Lumuba.

**on that note, do you love reading too!??
 
Yaani huyo dr phone bado tu mnasumbuana??????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…