Mary Glory
Senior Member
- Mar 20, 2011
- 124
- 20
- Thread starter
-
- #101
Kuna wakati maumivu yanashinda subira ndugu yangu we acha tu.na sometimes dawa ya moto ni motonikwambie MaryGlory, uzoefu wa maisha umenifundisha kuwa kisasi kinaumiza zaidi, kuliko hata maumivu ya kukosewa.
mpaka leo bado yuko hai huyo,au watania weye!Kuna wakati maumivu yanashinda subira ndugu yangu we acha tu.na sometimes dawa ya moto ni moto
Acha uchochezi.....Anamalizia hasira kwenye maandishi!!mpaka leo bado yuko hai huyo,au watania weye!
Hahhahah!!Kuhamia sio kuishi mpendwa!Baada ya mwezi tu tunahama zetu!
You fall that quickly? I can't believe it.
Daughter, I beseech you to take your time for your own good. Learn more about him and ask all the relevant questions. Ask him about what he does for a living. You can't trust people nowadays. For all you know he could be an armed robber, a sexual predator, or a child molester.
Ask him if it is okay to run a comprehensive background check on him. Don't forget to ask him if he has good credit so you know what you are about to get yourself into financially. I don't want you to be his meal ticket.
Put his worldly knowledge to the test to see how broad his horizons are. It is always a plus to have a man who is worldlywise.
ahaaa,kama hivyo sawa. taratibu tu msije mkahamia kwa daddy eeh? sasa kijana wa mbagala (kule net hakuna since mabomu) ataweza maisha ya masaki sasa?
Kwa kuwa mhusika ni memba hapa basi atakuwa ameshasoma kwa hiyo ujumbe uliokuwa unataka kumfikishia ameupata. Yaani kwenye hii thread kilichonivutia hadi nikaisoma yote nimependa babygal, Mentor na Mr Daddy wanavyochat tu. Mentor asante kwa vifungu vya biblia........kumbe nawe wamo?
sasa usiige ubaya wake...jitenge naye kama unavyoambiwame si mmachame yeye huyu s****** ndo mmachame.ni watu wabaya sana hawa ndugu yangu!
Mwenyewe nimemshangaa Mentor alivyo na vifungu kibao!!Heehehe tunafurahi kuona umefurahi!!Kwa kuwa mhusika ni memba hapa basi atakuwa ameshasoma kwa hiyo ujumbe uliokuwa unataka kumfikishia ameupata. Yaani kwenye hii thread kilichonivutia hadi nikaisoma yote nimependa babygal, Mentor na Mr Daddy wanavyochat tu. Mentor asante kwa vifungu vya biblia........kumbe nawe wamo?
Umeamka salama kijana wa Mbagaraaa?!Thanks kaka...Sivumi lakini nipo!!!loladhi dala...!
Umeamka salama kijana wa Mbagaraaa?!
najaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!
BabyGal....
Thanx.you dont know anything.na unaongea usichokijua.usinunue kesi tafadhali.kilcho ndani ya msitu usitake kukijua.pole na karibu tenamods pls kunahaja ya kuingilia kati huyu mary glory amegeuza mahala pakutangazia visasi vyake tena hadharani na anatishia kuua live hapa atafanya na ushahidi utakuja kuchukuliwa hapa apewe onyo
Sheria ipi unazumngumzia.nipe vifungu!kwakweli umekwenda mbali sana ficha upumbavu wako na sio hekima yako nimekufatilia kwa mda mrefu sana tread zako hapo na zimekuwa zikimlenga dr na yote unayoongea kadri siku zinavyokwenda inaonyesha ni uongo mana akuna hatua za kisheria ulizochukua dhidi yake zaidi ya kumchafua na kumtishia uhai wake tena hadharani ambalo ni kosa kisheria pls kama unatafuta mahali pa kupunguzia stress hapa jamvini sio mahala pake tafuta njia nyingine kumbuka unapojaribu kumchafua mwenzako ni unajichafua ww mwenyewe ipo siku ukweli utajulikana na jina lako/lake halisi yatajulikana utaweka/mtaweka wapi nyuso zenu tumia akili