Najaribu kufikiri kama Albert Einstein angelikuwa hai mpaka leo, elimu ya sayansi kuhusu dunia ingekuwa imefika wapi?

Najaribu kufikiri kama Albert Einstein angelikuwa hai mpaka leo, elimu ya sayansi kuhusu dunia ingekuwa imefika wapi?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Special theory of relativity
2. General theory of relativity
3. Time dilation
4. Warping of spacetime
5. Spacetime continuum
6. E=mc2
7. Gravity as bending of spacetime
8...............................................
Hivi vitu ni vigumu kuvielewa.......
 
Ingekuwa ya kijima zaidi ccm wameaharibu kila kitu
 
1. Special theory of relativity
2. General theory of relativity
3. Time dilation
4. Warping of spacetime
5. Spacetime continuum
6. E=mc2
7. Gravity as bending of spacetime
8...............................................
Hivi vitu ni vigumu kuvielewa.......
Sory, tofauti kati ya namba 1 & 6 ni ipi boss?
 
Hivi huyo Einstein hakuacha mtoto? Watoto si wanarithi vinasaba vya wazazi, sasa kwanini hatujaisikia generation ya Einstein kwenye ulimwengu wa science?
 
Hivi huyo Einstein hakuacha mtoto? Watoto si wanarithi vinasaba vya wazazi, sasa kwanini hatujaisikia generation ya Einstein kwenye ulimwengu wa science?
watoto wake maboya tu!
"alisikika mvuvi mmoja uko ziwa viktoria baada ya kuvuta ndege kwa kamba"
 
Sory, tofauti kati ya namba 1 & 6 ni ipi boss?
It is difficult to comprehend that time is an entity "intermingling" with space to form a continuum called spacetime. Vigumu kuvielewa..... huytu mtu alikuwa na akili za ajabu
 
Back
Top Bottom