Kayenga jr
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 443
- 349
Hana mpango na Magufuri kwa taarifa yako.
Kwi kwi kwi kwi[emoji106]= Magufuli
nilikuonya ndugu yangu ukashupaza shingo hahaha!...Kwi kwi kwi kwi[emoji106]
Usekretary labda BAKITA au TUKI kwingine haweziHabari wanajamvi?
Kwanza awali ya yoote bibie Faiza, Asalaam aleikhum!
Kisha baada ya salam adhimu kwa ajili yako nimekaa nkajaribu kujiuliza..
Hivi kwa post na comment zako kwa thread za watu nkapata mjumuisho juu ya kazi unayopaswa kufanya.
1.usekretari (secretary)
2.Mc (mistress of ceremony)
Zaidi ya kazi hizo utakua unabaka fani..
Mie nimejiwazia tu ustaadhat wangu waaaaala sina jengine..
Alaamsikh wabilah tawfiq.
Duriving = ???? Jaza mwenyewe hapofoxy
Not refurring to a fox itself but is instead o young and beautiful women. Duriving from the ancient british word of Foxismonitism, meaning attractive or sexually appealing, has evolved along the years to become a more well known, and someone slang word, foxy.
Laura Harlow is one foxy babe.
Sijui yule mama faiza fox alienda shule kusomea ujinga? Maana mara kibao nimekuwa nalazimika kuuliza juu ya uzima wa akili yale?
foxy
Not refurring to a fox itself but is instead oyoung and beautiful women. Duriving from the ancient british word of Foxismonitism, meaning attractive or sexually appealing, has evolved along the years to become a more well known, and someone slang word, foxy.
Laura Harlow is one foxy babe.
Foxy
describing a noun or a verb. Meaning sexy, cool, beautiful, and awesome. Mostly refered to a seductive vixxen.
Man that girl is so foxy!
Woah, that trick was so foxy!
Read more:
Urban Dictionary: foxy
Duriving = ???? Jaza mwenyewe hapo
Nimesoma hiyo link ,maana ya hilo neno Duriving ni nini mwalimu wangu ?Ukisoma mwisho wa hiyo post utaona link ya "read more".
Urban dictionary una contribute maana ya neno / maneno ujuavyo wewe au yanavyotumika kwa maana tofauti.
Sikuwa na sababu ya kurekebisha typo zao.