Najaribu kufikiri kuhusu Faizafox...

Najaribu kufikiri kuhusu Faizafox...

Bila Shaka atakuwa Mngoni tu huyu mana hawa ndugu zetu kwa kujipa majina ya Wanyama hawajambo,utaskia Mapunda,Katembo,Komba,Fisi sasa huyu Faiza Mbweha!by the way,sijui Kikwete alimbebaga na kitu gani mana asikusikie unamkosoa au una msema vibaya unae..
 
foxy
Not refurring to a fox itself but is instead o young and beautiful women. Duriving from the ancient british word of Foxismonitism, meaning attractive or sexually appealing, has evolved along the years to become a more well known, and someone slang word, foxy.
Laura Harlow is one foxy babe.

Foxy
describing a noun or a verb. Meaning sexy, cool, beautiful, and awesome. Mostly refered to a seductive vixxen.
Man that girl is so foxy!

Woah, that trick was so foxy!

Read more:
Urban Dictionary: foxy

Habari wanajamvi?
Kwanza awali ya yoote bibie Faiza, Asalaam aleikhum!
Kisha baada ya salam adhimu kwa ajili yako nimekaa nkajaribu kujiuliza..
Hivi kwa post na comment zako kwa thread za watu nkapata mjumuisho juu ya kazi unayopaswa kufanya.
1.usekretari (secretary)
2.Mc (mistress of ceremony)
Zaidi ya kazi hizo utakua unabaka fani..
Mie nimejiwazia tu ustaadhat wangu waaaaala sina jengine..
Alaamsikh wabilah tawfiq.
Usekretary labda BAKITA au TUKI kwingine hawezi
 
b84136adb010d230536a95e01cee01d1.jpg
 
foxy
Not refurring to a fox itself but is instead o young and beautiful women. Duriving from the ancient british word of Foxismonitism, meaning attractive or sexually appealing, has evolved along the years to become a more well known, and someone slang word, foxy.
Laura Harlow is one foxy babe.
Duriving = ???? Jaza mwenyewe hapo
 
Sijui yule mama faiza fox alienda shule kusomea ujinga? Maana mara kibao nimekuwa nalazimika kuuliza juu ya uzima wa akili yale?

Nimecheka kwa nguvu hapa hadi watu wamenishangaa.....

Huyu mama huwa naipenda michango yake maana anakupa kavu live bila kuirembesha bila ya kujali hisia zako lakini ni mwanamke mwerevu sana..

Ukiona comment hii "hivi huko shuleni ulienda kusomea ujinga" ama umerekebishwa typing errors ..
usijihangaishe kuangalia jina maana usiyemtaka kaja
 
foxy
Not refurring to a fox itself but is instead oyoung and beautiful women. Duriving from the ancient british word of Foxismonitism, meaning attractive or sexually appealing, has evolved along the years to become a more well known, and someone slang word, foxy.
Laura Harlow is one foxy babe.

Foxy
describing a noun or a verb. Meaning sexy, cool, beautiful, and awesome. Mostly refered to a seductive vixxen.
Man that girl is so foxy!

Woah, that trick was so foxy!

Read more:
Urban Dictionary: foxy

o=or
 
Wallah sometimes I think faizafoxy is an institution wangu tofauti maana kila topic yy anaijua na kuchangia deep Tena asap. Lkn ni MTU mashallah ubarikiwe
 
Duriving = ???? Jaza mwenyewe hapo

Ukisoma mwisho wa hiyo post utaona link ya "read more".

Urban dictionary una contribute maana ya neno / maneno ujuavyo wewe au yanavyotumika kwa maana tofauti.

Sikuwa na sababu ya kurekebisha typo zao.
 
Ukisoma mwisho wa hiyo post utaona link ya "read more".

Urban dictionary una contribute maana ya neno / maneno ujuavyo wewe au yanavyotumika kwa maana tofauti.

Sikuwa na sababu ya kurekebisha typo zao.
Nimesoma hiyo link ,maana ya hilo neno Duriving ni nini mwalimu wangu ?
Ndio maana nikakuwekea
Duriving= ?? Jaza mwenyewe
 
FaizaFoxy doesn't sugarcoat a word..
you would die from diabetes if Lara1 wrote it.
 
Back
Top Bottom