Najaribu kufungua account Telegram lakini nakwama upande wa kupata verification code, nifanyeje?

Najaribu kufungua account Telegram lakini nakwama upande wa kupata verification code, nifanyeje?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Wakuu nataka nifungue account huko sasa inagoma pale kwenye kutuma verification code, je, hapo nifanye ujanja gani wakuu?

Kama kuna mtaalam msaada please.
 
Wakuu nataka nifungue account uko sasa inagoma pale kwenye kutuma verification code je apo nifanye UJANJA Gani wakuu?

Kama Kuna mtaalam msaada please
Vpn
 
Verification Number Inatumwa Kwa Sms Ama Voice Sasa
Hapo Unapokwama Ni Kutokupokea Ama Piga Usikilize
 
Back
Top Bottom