Relax ,kula kwa urefu wa kamba yakoWatu wanatafuta pa kujifichia au kuficha mapungufu yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Relax ,kula kwa urefu wa kamba yakoWatu wanatafuta pa kujifichia au kuficha mapungufu yao
Tunashukuru Mods kwa weledi wenuBinafsi sipingi kukopa ila mambo mawili tu ndiyo ya msingi yananifanya niwaze
1. Je pesa tunakopo zinakwenda sehemu sahihi.
2. kwa rasilimali tulizonazo tunasitahili kukopo kwa kiasi hiki?
Je, kwa hii kasi tuko kwenye uelekeo sahihi?
========
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia March 2024, deni la Serikali lilikuwa shilingi bilioni 91,708.3 (Tsh. trilioni 91.7) ikilinganishwa na shilingi bilioni 77,010.4 (Tsh. trilioni 77.) katika kipindi kama hicho mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 19.1.
Akitoa hotuba ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023, Bungeni Jijini Dodoma leo June 13,2024, Mkumbo amesema “deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 30,753.8 na deni la nje lilikuwa shilingi bilioni 60,954.5”
Itakumbukwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere, wakati akiwasilisha ripoti kuu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma March 28,2024 moja ya aliyoyazungumzia ni deni la Serikali ambapo alisema hadi kufikia June 30,2023 deni la Serikali lilikuwa Tsh. trilioni 82.25 sawa na ongezeko la 15% kutoka Tsh.trilioni 71.31 kwa mwaka 2021/2022, deni hilo lilijumuisha deni la ndani Tsh. trilioni 28.92 na deni la nje Tsh. trilioni 53.32”
Vizuri positive thread changesTunashukuru Mods kwa weledi wenu
Hii mikopo ingekua inafanya mambo ya maana angalau ila kama ni haya mambo yakununua V8 na kugawa Hela kama pipi ,nimeona kamanda wa Burkina Faso amewekeza kwenye miradi yenye tija badala ya hayo ma v8 kanunua tractors na kupunguza mishahara ya mawaziri huku akiongeza mishahara ya wafanyakazi kwa 50%, ni kiongozi wakuigwa kwa tunakoelekea hili deni si rafiki hata kidogo na hili kwa % kubwa ni haya mambo ya uchaguzi ,,,kwa ukubwa wa hii nchi Tungewekeza kwenye kilimo ,viwanda na kumalizia viporo VYA miradi yenye tija ,hayo mapikipiki na magari yanatuongezea madeni zaidiBinafsi sipingi kukopa ila mambo mawili tu ndiyo ya msingi yananifanya niwaze
1. Je pesa tunakopo zinakwenda sehemu sahihi.
2. kwa rasilimali tulizonazo tunasitahili kukopo kwa kiasi hiki?
Je, kwa hii kasi tuko kwenye uelekeo sahihi?
========
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia March 2024, deni la Serikali lilikuwa shilingi bilioni 91,708.3 (Tsh. trilioni 91.7) ikilinganishwa na shilingi bilioni 77,010.4 (Tsh. trilioni 77.) katika kipindi kama hicho mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 19.1.
Akitoa hotuba ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023, Bungeni Jijini Dodoma leo June 13,2024, Mkumbo amesema “deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 30,753.8 na deni la nje lilikuwa shilingi bilioni 60,954.5”
Itakumbukwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere, wakati akiwasilisha ripoti kuu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma March 28,2024 moja ya aliyoyazungumzia ni deni la Serikali ambapo alisema hadi kufikia June 30,2023 deni la Serikali lilikuwa Tsh. trilioni 82.25 sawa na ongezeko la 15% kutoka Tsh.trilioni 71.31 kwa mwaka 2021/2022, deni hilo lilijumuisha deni la ndani Tsh. trilioni 28.92 na deni la nje Tsh. trilioni 53.32”
Uko sahihiHii mikopo ingekua inafanya mambo ya maana angalau ila kama ni haya mambo yakununua V8 na kugawa Hela kama pipi ,nimeona kamanda wa Burkina Faso amewekeza kwenye miradi yenye tija badala ya hayo ma v8 kanunua tractors na kupunguza mishahara ya mawaziri huku akiongeza mishahara ya wafanyakazi kwa 50%, ni kiongozi wakuigwa kwa tunakoelekea hili deni si rafiki hata kidogo na hili kwa % kubwa ni haya mambo ya uchaguzi ,,,kwa ukubwa wa hii nchi Tungewekeza kwenye kilimo ,viwanda na kumalizia viporo VYA miradi yenye tija ,hayo mapikipiki na magari yanatuongezea madeni zaidi
Lamamayéee!Binafsi sipingi kukopa ila mambo mawili tu ndiyo ya msingi yananifanya niwaze
1. Je pesa tunakopo zinakwenda sehemu sahihi.
2. kwa rasilimali tulizonazo tunasitahili kukopo kwa kiasi hiki?
Je, kwa hii kasi tuko kwenye uelekeo sahihi?
========
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia March 2024, deni la Serikali lilikuwa shilingi bilioni 91,708.3 (Tsh. trilioni 91.7) ikilinganishwa na shilingi bilioni 77,010.4 (Tsh. trilioni 77.) katika kipindi kama hicho mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 19.1.
Akitoa hotuba ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023, Bungeni Jijini Dodoma leo June 13,2024, Mkumbo amesema “deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 30,753.8 na deni la nje lilikuwa shilingi bilioni 60,954.5”
Itakumbukwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere, wakati akiwasilisha ripoti kuu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma March 28,2024 moja ya aliyoyazungumzia ni deni la Serikali ambapo alisema hadi kufikia June 30,2023 deni la Serikali lilikuwa Tsh. trilioni 82.25 sawa na ongezeko la 15% kutoka Tsh.trilioni 71.31 kwa mwaka 2021/2022, deni hilo lilijumuisha deni la ndani Tsh. trilioni 28.92 na deni la nje Tsh. trilioni 53.32”
Kumbuka kodi zenu ndizo zitakazolipa hayo madeni.Kikubwa ni kua sisi wananchi hatulipi linalipwa na serikali.
Bro itizame Kenya deni la taifa linavyowaumiza.Ingekua tunatozwa direct kwa ajili ya kulipa Deni hapo ingekua mbaya
3. Je, huko tunakopeleka hizo pesa kunatujengea uwezo wa kulipa hilo deni hapo baadae?1. Je pesa tunakopo zinakwenda sehemu sahihi.
2. kwa rasilimali tulizonazo tunasitahili kukopo kwa kiasi hiki?
Aisee we jamaa unaishi shimoni? Mi nimetoa elfu 20 kwa wakala nikakatwa 1800 zikaniuma nikaangalia makato nikaona tozo ipo kubwa na ya kutosha sasa we unasemaje wananchi hatulipi deni? Hizo tozo zinaenda wapi kufanya nini? Kataa mikopo unalipa wewe!!Kikubwa ni kua sisi wananchi hatulipi linalipwa na serikali.
Kama Kuna milija inaipeleka kusiko sahihi, hiyo mirija ijiandae kurudisha na riba juu!!! Ni utaratibu tu, unatakiwa kufuatwa.1. Je pesa tunakopo zinakwenda sehemu sahihi.
Mbona huzungumzii Ukubwa wa Uchumi wa Nchi?Binafsi sipingi kukopa ila mambo mawili tu ndiyo ya msingi yananifanya niwaze
1. Je pesa tunakopo zinakwenda sehemu sahihi.
2. kwa rasilimali tulizonazo tunasitahili kukopo kwa kiasi hiki?
Je, kwa hii kasi tuko kwenye uelekeo sahihi?
========
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia March 2024, deni la Serikali lilikuwa shilingi bilioni 91,708.3 (Tsh. trilioni 91.7) ikilinganishwa na shilingi bilioni 77,010.4 (Tsh. trilioni 77.) katika kipindi kama hicho mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 19.1.
Akitoa hotuba ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023, Bungeni Jijini Dodoma leo June 13,2024, Mkumbo amesema “deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 30,753.8 na deni la nje lilikuwa shilingi bilioni 60,954.5”
Itakumbukwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere, wakati akiwasilisha ripoti kuu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma March 28,2024 moja ya aliyoyazungumzia ni deni la Serikali ambapo alisema hadi kufikia June 30,2023 deni la Serikali lilikuwa Tsh. trilioni 82.25 sawa na ongezeko la 15% kutoka Tsh.trilioni 71.31 kwa mwaka 2021/2022, deni hilo lilijumuisha deni la ndani Tsh. trilioni 28.92 na deni la nje Tsh. trilioni 53.32”
🤣 🤣 🤣Hapa ni kuhama nchi
🤣 🤣 🤣Relax ,kula kwa urefu wa kamba yako
✍️📝👍👌👊👏🤝🙏💐🎁🙋♂️🛡️Hii mikopo ingekua inafanya mambo ya maana angalau ila kama ni haya mambo yakununua V8 na kugawa Hela kama pipi ,nimeona kamanda wa Burkina Faso amewekeza kwenye miradi yenye tija badala ya hayo ma v8 kanunua tractors na kupunguza mishahara ya mawaziri huku akiongeza mishahara ya wafanyakazi kwa 50%, ni kiongozi wakuigwa kwa tunakoelekea hili deni si rafiki hata kidogo na hili kwa % kubwa ni haya mambo ya uchaguzi ,,,kwa ukubwa wa hii nchi Tungewekeza kwenye kilimo ,viwanda na kumalizia viporo VYA miradi yenye tija ,hayo mapikipiki na magari yanatuongezea madeni zaidi