Nimesoma post kibao.. tena zilizo na maana na nimejaeribu zi apply..... My Lurv wangu ndo kila kukicha bora jana.... Boresha Mapenzi... Nimetumia lugha za kimahaba..... I was there whenever she needed me.... Post za MBU za kuboresha mahaba nimezifanyia kazi.... Lakin ndo ivyo... Mabint wa kisasa Taaaaabuuuu.... happy ney year MMU.
Apply za kwako. Sometimes mapenzi ni ubunifu wako mwenyewe.
Komaa may be 2012 itakuwa ya mafanikio kimapenzi. HAPPY NEW YEAR.
mmmwwwwaaaahhh 2 you lizy... i know u
ninavyokujua wewe hujui Mapenzi.. so siwezi kuja...
Yeahhh haikolei kabisa.Kama ambavyo wewe hukolei mapenzi.ivi jinzi ya mtumba haikubali sabuni eehhh!!!! na mapenzi ya kisasa yamefulia the same
Kula gwala KOKU......!!