Najaribu waza MMU imenisaidia nin kati yangu mie na My Lurv.. Nakosa Majibu... na Mwaka waisha..

Najaribu waza MMU imenisaidia nin kati yangu mie na My Lurv.. Nakosa Majibu... na Mwaka waisha..

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Nimesoma post kibao.. tena zilizo na maana na nimejaeribu zi apply..... My Lurv wangu ndo kila kukicha bora jana.... Boresha Mapenzi... Nimetumia lugha za kimahaba..... I was there whenever she needed me.... Post za MBU za kuboresha mahaba nimezifanyia kazi.... Lakin ndo ivyo... Mabint wa kisasa Taaaaabuuuu.... happy ney year MMU.
 
Wishing you Happy New Year......................2012
 
Lurv ndio nani?
Vijana wa kisasa Taaaaabuuuuu!!
 
Nimesoma post kibao.. tena zilizo na maana na nimejaeribu zi apply..... My Lurv wangu ndo kila kukicha bora jana.... Boresha Mapenzi... Nimetumia lugha za kimahaba..... I was there whenever she needed me.... Post za MBU za kuboresha mahaba nimezifanyia kazi.... Lakin ndo ivyo... Mabint wa kisasa Taaaaabuuuu.... happy ney year MMU.

....Mhhhhh! Pole sana ila usikate tamaa na endelea kuyafanyia kazi yale mazuri unayoyaona hapa labda siku za usoni kauli yako itabadilika na kuwa positive ukilinganisha na hii ya leo. Heri ya mwaka mpya.

Apply za kwako. Sometimes mapenzi ni ubunifu wako mwenyewe.
Komaa may be 2012 itakuwa ya mafanikio kimapenzi. HAPPY NEW YEAR.
 
Eti unavyonijua. . . Umefulia kama jeans ya mtumba.

ivi jinzi ya mtumba haikubali sabuni eehhh!!!! na mapenzi ya kisasa yamefulia the same
 
Waone wanasihi.....................au kwa Dr. toka Sumbawanga
 
Back
Top Bottom