CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Nilipata Breed ya Kware wakubwa Jumbo kutoka nchi noja hivi, na naendelea kuwa breed kwa sasa.
Mahesabu nilio piga ni kwamba Bongo kwa sasa kitoweo ni Biashara kubwa sana.
Fikiria Vile visamaki vinavyo vuliwa kwenye Mabwawa kama Nyumba ya Mungu au Mtela, ni vidogo sana ila ndo kitoweo cha watu.
Hawa Kware wa Nyama wana Gram za hadi 400+ hii ni Uzito mkubwa sana unatosha kabisa.
Mpango ni kuchinja Kware zaidi ya 2000 kila siku na Kware 60, 000 kwa Mwezi.
Kware wana Mature mapema sana miezi miwili na ulaji wao uko chini sana.
Lengo hasa ni kutarget soko la kitoweo, ambao watu watu watajuwa wanachukua wanakaanga na kuuza mtaani.