Najiandaa kuanza kuzalisha/ Kuuza Kware wa Nya.

Nilipata Breed ya Kware wakubwa Jumbo kutoka nchi noja hivi, na naendelea kuwa breed kwa sasa.

Mahesabu nilio piga ni kwamba Bongo kwa sasa kitoweo ni Biashara kubwa sana.

Fikiria Vile visamaki vinavyo vuliwa kwenye Mabwawa kama Nyumba ya Mungu au Mtela, ni vidogo sana ila ndo kitoweo cha watu.

Hawa Kware wa Nyama wana Gram za hadi 400+ hii ni Uzito mkubwa sana unatosha kabisa.

Mpango ni kuchinja Kware zaidi ya 2000 kila siku na Kware 60, 000 kwa Mwezi.

Kware wana Mature mapema sana miezi miwili na ulaji wao uko chini sana.

Lengo hasa ni kutarget soko la kitoweo, ambao watu watu watajuwa wanachukua wanakaanga na kuuza mtaani.View attachment 1933850View attachment 1933853View attachment 1933858

View attachment 1933847

View attachment 1933848

View attachment 1933851

Wenye nyara zao nao wanasema je?
 
Soko lake likoje mkuu?kwa wiki unaweza kuuza wangapi?
Mkuu soko lake kivipi? Uje Cocacola wangesema soko likoje wasingevumbua Soda, Kware ni kitoea na ninacho taka kufanya ni kuanza kuwaonjesha watu nyama yake na hapo Biashara zitafanyika, nataka nitaanza na watu wachache ambao wao nitawauzia na wao wataenda kuuza mtaani, Kware ni kitoea kwenye Family levo kabisa
 
Hongera mkuu, wazo zuri. Sorry mkuu, hivi naweza kupata wapi kwale wa mbegu? au hata mayai ya kutotolesha.
Sijajua ila mim kwa sasa siuzi kabisa, labda mbeleni huko sana ila so far siuzi mayai au wa kufugwa ila kwa baadae labda, kwa sababu pia najua siwezi supply mwenyewe nikaweza
 
Mkuu soko lake kivipi? Uje Cocacola wangesema soko likoje wasingevumbua Soda, Kware ni kitoea na ninacho taka kufanya ni kuanza kuwaonjesha watu nyama yake na hapo Biashara zitafanyika, nataka nitaanza na watu wachache ambao wao nitawauzia na wao wataenda kuuza mtaani, Kware ni kitoea kwenye Family levo kabisa
Kwa mwanzoni lazima ukubali kupata hasara,itakulazimu uuze kwa bei ya chini ili kuweza kuwafikia walaji wengi huku ukitumia njia za kimasoko kushawishi ili walaji wapya wakitoweo waweze kupatikana. kumjengea uelewa mtu ambaye hajawai kula kabisa ili aweze kula itakulazimu kutumia mikakati mbalimbali ya kimasoko; mojawapo ni kuandaa 'promotion' ya nyama choma ya kware n.k
 
Kwa sasa hapana kabisa mkuu

Siyo kwa sasa mkuu ninajenga mindombinu zangu kwanza. Mimi ni mfugaji wa ng’ombe na mbuzi pia nina batamaji wa kumwaga nakusudia kuweka kanga na kware ila mwakani nadhani.

Kama utanisaidia mayai huwezi kujua keshokutwa unaweza kuja kwangu nikakupa na mimi
 
Mwanzo nazani 2019 nisha fanya hivyo sema nilipata safari ya muda mrefu nikaacha, Nilikuwa na Oda kubwa tu.

Na pia gharama za kumtubza jware ziko chini so huwezi uza bei kubwa, kware alie chinjwa anauzaa around 2000
 
Sijajua ila mim kwa sasa siuzi kabisa, labda mbeleni huko sana ila so far siuzi mayai au wa kufugwa ila kwa baadae labda, kwa sababu pia najua siwezi supply mwenyewe nikaweza
Sawa mkuu, ukisikia mahala wanauza usisite kunishtua.
 
Siyo kwa sasa mkuu ninajenga mindombinu zangu kwanza. Mimi ni mfugaji wa ng’ombe na mbuzi pia nina batamaji wa kumwaga nakusudia kuweka kanga na kware ila mwakani nadhani.

Kama utanisaidia mayai huwezi kujua keshokutwa unaweza kuja kwangu nikakupa na mimi
Ukihitaji mayai ya kanga usisite kunicheki wakwangu wanataga vya kutosha. Bata unauzaje? nahitaji majike kama 7 hivi.
 
Back
Top Bottom