CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Poa poaVizuri sana mkuu. tutafwatilia kwa karibu ili kujifunza.
Miaka ya 2000 wakenya waliwapiga sana watu kwa kuwauzia mbegu za kware na sungura halafu wateja wa kununua mayai na nyama hawakupatikana biashara ikafa.Nilipata Breed ya Kware wakubwa Jumbo kutoka nchi noja hivi, na naendelea kuwa breed kwa sasa.
Mahesabu nilio piga ni kwamba Bongo kwa sasa kitoweo ni Biashara kubwa sana.
Fikiria Vile visamaki vinavyo vuliwa kwenye Mabwawa kama Nyumba ya Mungu au Mtela, ni vidogo sana ila ndo kitoweo cha watu.
Hawa Kware wa Nyama wana Gram za hadi 400+ hii ni Uzito mkubwa sana unatosha kabisa.
Mpango ni kuchinja Kware zaidi ya 2000 kila siku na Kware 60, 000 kwa Mwezi.
Kware wana Mature mapema sana miezi miwili na ulaji wao uko chini sana.
Lengo hasa ni kutarget soko la kitoweo, ambao watu watu watajuwa wanachukua wanakaanga na kuuza mtaani.View attachment 1933850View attachment 1933853View attachment 1933858
View attachment 1933847
View attachment 1933848
View attachment 1933851
Kware kama nyama ni biashara world wideMiaka ya 2000 wakenya waliwapiga sana watu kwa kuwauzia mbegu za kware na sungura halafu wateja wa kununua mayai na nyama hawakupatikana biashara ikafa.
Mkuu kama utazalisha mwenyewe uchinje mwenyewe uuze nyama utafanikiwa ila kuuza mbegu za kware hutapata wayeja.
Hao kware wapo Tz mda mrefu tu.
Watanzania wengi hawapendi nyama wasizozijua, wamexoea kuku hata bata hawamtaki.
Mbegu za kware za nini tena? Mimi si kwamba baada ya ule utapeli wa mayai sijaacha kufuga sema kwa sasa nina Breed kubwa.Miaka ya 2000 wakenya waliwapiga sana watu kwa kuwauzia mbegu za kware na sungura halafu wateja wa kununua mayai na nyama hawakupatikana biashara ikafa.
Mkuu kama utazalisha mwenyewe uchinje mwenyewe uuze nyama utafanikiwa ila kuuza mbegu za kware hutapata wayeja.
Hao kware wapo Tz mda mrefu tu.
Watanzania wengi hawapendi nyama wasizozijua, wamexoea kuku hata bata hawamtaki.
YaKware kama nyama ni biashara world wide
Sijaanza kuwauza wa kutumia ila bei nina oanga iwe rafiki sana kilo 1 ni around 5000/Unauzaje mkuu
Changamoto ni kama Kware kuugua labda na hatari zingine kama wizi.Changamoto ya hii biashara ni nini?
Nilipata Breed ya Kware wakubwa Jumbo kutoka nchi noja hivi, na naendelea kuwa breed kwa sasa.
Mahesabu nilio piga ni kwamba Bongo kwa sasa kitoweo ni Biashara kubwa sana.
Fikiria Vile visamaki vinavyo vuliwa kwenye Mabwawa kama Nyumba ya Mungu au Mtela, ni vidogo sana ila ndo kitoweo cha watu.
Hawa Kware wa Nyama wana Gram za hadi 400+ hii ni Uzito mkubwa sana unatosha kabisa.
Mpango ni kuchinja Kware zaidi ya 2000 kila siku na Kware 60, 000 kwa Mwezi.
Kware wana Mature mapema sana miezi miwili na ulaji wao uko chini sana.
Lengo hasa ni kutarget soko la kitoweo, ambao watu watu watajuwa wanachukua wanakaanga na kuuza mtaani.View attachment 1933850View attachment 1933853View attachment 1933858
View attachment 1933847
View attachment 1933848
View attachment 1933851
Ukubwa wao hufikia kg ngapi mkuu?Mbegu za kware za nini tena? Mimi si kwamba baada ya ule utapeli wa mayai sijaacha kufuga sema kwa sasa nina Breed kubwa.
Kware kama nyama haina shida na nilitest kipindi fulani kwenye Baa fulani Arusha ilipata sana watu sema nilikuwa na mzigo mchache.
Mpaka leo nina Oda special yazungu yuko USA River anachukuaga kwa wiki kama 30 hadi 50 ila anaenda kuchinja mwenyewe.
So mkuu sitatataka kuuza mayai ya mbegu wala wale hai wa kwenda kufuga.
Soko lake likoje mkuu?kwa wiki unaweza kuuza wangapi?Changamoto ni kama Kware kuugua labda na hatari zingine kama wizi.