Najiandaa kufumania kesho au keshokutwa. Nawaza adhabu mbalimbali za kutoa

Kuna uzi humu jamaa alimvumania mke wake wakamfunua malinda mgoni wao wakamrekod wakamwambia alambe uume wakamwandikisha alipe faini milioni ili zile picha wasizisambaze , matokeo yake yule mgoni ,mume WA mwanamke amefungwa maisha,yule msaidizi aliemkodi amefungwa miaka 14, yule mgoni amebaki kitaa akiendelea kumtomba mke WA jamaa

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Alisema kesho au kesho kutwa, basi tuamini ni kesho kutwa take ambayo ni kesho Sasa. Naamini atakuja.

Ila ushawaza vipi jamaa akimbadilishia location, yaani mwanamke anafika na Uber mfano Sinza afu jamaa anambeba kwenye gari anampeleka Mnazi mmoja. Mwanamke aweza watamtumia jamaa atakuta manyoya tu.
Wanaume baana...Kuna muda mnakuwa na hasira Sanaa.
 
Huyu anayemtongoza mke wangu kila siku alikuwa jamaa yangu wa karibu, nilisoma naye O-Level kisha nikaja fanya naye kazi. Alikuwa karibu hivyo haikuwa ngumu mimi kumpa namba ya mke wangu.

Hasa sababu mke wangu ana wivu sana so sometimes nikitaka kutoka namwambia jamaa ampigie wife amwombe kuwa tunatoka wote.

Jamaa alianza kumsifia sifia wife kama utani baadaye nikakata kabisa ukaribu naye nilipoona anazidi sana kutaka ukaribu. Mwishowe akaanza mwambia wife kuwa mimi nina diversions nyingi sana, si mwaminifu.

Akaendelea na kuanza tuma texts za mapenzi n.k wife akawa ananionesha. Sasa ameomba kabisa game na anaomba iwe kesho au kesho kutwa yeye atakuwa free aende na wife popote atakapo.

Nimemwambia wife akubali, wamepanga kila kitu na jamaa katuma 50,000 ya uber ili wife asitumie gari yake.

Sasa nawaza adhabu ya kwenda mpa jamaa. Maana ile 50,000 yake na nyingine nitakodisha watu watatu. Tutaenda sehemu hiyo, nataka nimfanye kitu ambacho yaani akija sikia kuwa mwanamke ameolewa awe anakimbia huku analia kabisa.

Sitaki polisi wala nini, naombeni msaada wenu. Adhabu ya kufaa kabisa. Sitaki muua, nataka aishi akijutia jambo hilo milele. Nyie si mnaona sisi tuliooa hatuna maana? Basi haina shida...wallah atasimulia maana ntamwachia ulimi ili aweze simulia wenzie.

Nisaidieni ushauri wa Adhabu, sitaki maneno ya sijui polisi, sijui ushauri nasaha. Nataka Ushauri wa adhabu ya kufaa hasa ili iwe fundisho na kwa wengine.
Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake
 
Naomba mrejesho mkuu, mlimla tiGo?
 
Acha papala mkuu chukua hiyo pesa nenda kampe cash mkonon then mwambie manenò ya kawaida tyu bac alaf ondoka zako kuàñzia hapo atakuheshimu na kukuogopa
 
mkuu kuna umri ukifika utakasirika sana ukioona hii thread! maturity is it all!!
 
Back
Top Bottom