Pre GE2025 Najiandaa kugombea ubunge jimbo la Mwibara 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama mada inavyosema Mimi ni mtanzania niliyezaliwa, Kijiji Cha Nakatuba kata ya Chitengule Jimbo la MWIBARA. Nimeamua nigombee UBUNGE jimbo la Mwibara 2025.

Nimeamua kuonesha nia ya kuligombania hili Jimbo maana mbunge aliyopo madarakani ni kama tu amejikatia tamaa maana sidhani kama atarudi Tena kuomba ridhaa kwa wananchi. Jimbo kimekuwa kama yatima maana mheshimiwa hajawahi kutimiza ahadi yoyote jimboni.

Nikikumbuka katika ahadi alizozitoa pale Nakatuba nabaki kushangaa tu sera ya mtue mama ndio kichwani haijatimia zaidi ya kuwaona akina mama wakigombania maji kwenye vishimo vilivyopo karibu na shule ya misingi Nakatuba. Barabara ya kwendwa shule ya misingi nansululi imekuwa panda la ng'ombe,
Mheshimiwa alihaidi kushughulikia uhaba wa nyumba za walimu nansululi,namalebe,na Nakatuba lakini utekelezaji ni zero nukta sifuri.

Mimi kama mwananchi mwenye uchungu kwa haya ninayoyaona jimboni Sina budi kutumia haki yangu ya kikatiba kupeperusha bendera ya chama chochote ili niwatumikie wananchi wa Jimbo la Mwibara kwa moyo Mmoja kwani waliotangulia kuliongoza hili Jimbo naweza kusema wameshindwa labisa hivyo hawana budi kupumzika ili sisi vijana tulip na uchungu tuwaoneshe namna ya kuwatumikia wananchi.

Zaidi nahitaji watu watakao tia nia kwenye udiwani wawe pia watu walio na uchungu na kata zao ,tumechoka kuwa watu wa kuimba mapambio tunataka maendeleo yenye vitendo sio maneno.

MWIBARA CHINI YA UONGOZI WA MANUMBU PETRO MUYABI(MKUNYUNYU) INAWEZEKANA. Ewe mwana Mwibara naomba kura yako ya ndiyo nikutumikie bila kujali itikadi ya vyama .
Hongera kwa nia na uthubutu na msukumo wa kujiskia kwamba nawe unao mchango ktka kuwatumikia wanainchi wa Mwibara kwa nafasi ya ubunge🐒

Ni jambo zuri.....

epuka vita na wenye nia kama yako ikiwa ni pamoja na aliyeko madarakani kwa sasa. Itakupotezea muda na kujenga taswira hasi kwa wapiga kura dhidi yako 🐒

Jikite kwenye mipango, mikakati na mbinu mujarabu za kutatua changamoto za wanamwibara. Jenga hoja kuonyesha mbadala wa anachofanya alioko madarakani sasa utakawavutia wanainchi na kutatua changamoto zao 🐒

Ni vizuri kua na takwimu ya mambo muhimu ya miradi iliyoko jimboni pako mathalani kuna shule ngap msingi na sec, vituo vya afya na zahanati, masoko, majosho n.k na kubainisha changamoto zitakaxo kupatia hoja na sio kulalamika mtu 🐒

Vinginevyo I wish you all the best
 
Kama mada inavyosema Mimi ni mtanzania niliyezaliwa, Kijiji Cha Nakatuba kata ya Chitengule Jimbo la MWIBARA. Nimeamua nigombee UBUNGE jimbo la Mwibara 2025.

Nimeamua kuonesha nia ya kuligombania hili Jimbo maana mbunge aliyopo madarakani ni kama tu amejikatia tamaa maana sidhani kama atarudi Tena kuomba ridhaa kwa wananchi. Jimbo kimekuwa kama yatima maana mheshimiwa hajawahi kutimiza ahadi yoyote jimboni.

Nikikumbuka katika ahadi alizozitoa pale Nakatuba nabaki kushangaa tu sera ya mtue mama ndio kichwani haijatimia zaidi ya kuwaona akina mama wakigombania maji kwenye vishimo vilivyopo karibu na shule ya misingi Nakatuba. Barabara ya kwendwa shule ya misingi nansululi imekuwa panda la ng'ombe,
Mheshimiwa alihaidi kushughulikia uhaba wa nyumba za walimu nansululi,namalebe,na Nakatuba lakini utekelezaji ni zero nukta sifuri.

Mimi kama mwananchi mwenye uchungu kwa haya ninayoyaona jimboni Sina budi kutumia haki yangu ya kikatiba kupeperusha bendera ya chama chochote ili niwatumikie wananchi wa Jimbo la Mwibara kwa moyo Mmoja kwani waliotangulia kuliongoza hili Jimbo naweza kusema wameshindwa labisa hivyo hawana budi kupumzika ili sisi vijana tulip na uchungu tuwaoneshe namna ya kuwatumikia wananchi.

Zaidi nahitaji watu watakao tia nia kwenye udiwani wawe pia watu walio na uchungu na kata zao ,tumechoka kuwa watu wa kuimba mapambio tunataka maendeleo yenye vitendo sio maneno.

MWIBARA CHINI YA UONGOZI WA MANUMBU PETRO MUYABI(MKUNYUNYU) INAWEZEKANA. Ewe mwana Mwibara naomba kura yako ya ndiyo nikutumikie bila kujali itikadi ya vyama .

Zaidi ya kutoa majungu hakuna cha maana ulichozungumza. Kwa mantiki hiyo hata wananchi hawawezi kukupatia kura zao
 
Hamuendi kutumikia wananchi huko bali mnaenda kufuata maslahi manono ya ubunge.
 
Back
Top Bottom