Pre GE2025 Najiandaa kugombea ubunge jimbo la Mwibara 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hongera kwa nia na uthubutu na msukumo wa kujiskia kwamba nawe unao mchango ktka kuwatumikia wanainchi wa Mwibara kwa nafasi ya ubunge🐒

Ni jambo zuri.....

epuka vita na wenye nia kama yako ikiwa ni pamoja na aliyeko madarakani kwa sasa. Itakupotezea muda na kujenga taswira hasi kwa wapiga kura dhidi yako 🐒

Jikite kwenye mipango, mikakati na mbinu mujarabu za kutatua changamoto za wanamwibara. Jenga hoja kuonyesha mbadala wa anachofanya alioko madarakani sasa utakawavutia wanainchi na kutatua changamoto zao 🐒

Ni vizuri kua na takwimu ya mambo muhimu ya miradi iliyoko jimboni pako mathalani kuna shule ngap msingi na sec, vituo vya afya na zahanati, masoko, majosho n.k na kubainisha changamoto zitakaxo kupatia hoja na sio kulalamika mtu 🐒


Vinginevyo I wish you all the best
 

Zaidi ya kutoa majungu hakuna cha maana ulichozungumza. Kwa mantiki hiyo hata wananchi hawawezi kukupatia kura zao
 
Hamuendi kutumikia wananchi huko bali mnaenda kufuata maslahi manono ya ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…