NAJIANDAA KUISHANGILIA TZ LEO! ILA NIULIZE KWANZA....HIVI MAKONDA BADO YUPO MISRI?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Kabla ya kuurudisha Utaifa wangu leo na kuishnagilia Timu yetu dhidi ya Algeria ,naomba kufahamu huyu Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa ,kama bado yupo Misri au la!
Na je kuna lolote ameongea !
 
Ukishajua alipo bashite itakufanya kushangilia au kutoshangilia? Kuwa kama bongo zozo uzalendo kwanza
 
Uzalendo sawa lakini si wa kufundishwa na jiwe na mwanawe!😞😠😠😠
 
Kabla ya kuurudisha Utaifa wangu leo na kuishnagilia Timu yetu dhidi ya Algeria ,naomba kufahamu huyu Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa ,kama bado yupo Misri au la!
Na je kuna lolote ameongea !
Mkuu unataka kucheza na mkeka wako?
 
Back
Top Bottom