Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yupo ana enjoy na mcheza rede wa taifa
Uzalendo sawa lakini si wa kufundishwa na jiwe na mwanawe!😞😠😠😠Ukishajua alipo bashite itakufanya kushangilia au kutoshangilia? Kuwa kama bongo zozo uzalendo kwanza
Mkuu unataka kucheza na mkeka wako?Kabla ya kuurudisha Utaifa wangu leo na kuishnagilia Timu yetu dhidi ya Algeria ,naomba kufahamu huyu Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa ,kama bado yupo Misri au la!
Na je kuna lolote ameongea !
JF simama nishuke. Nahisi sina mbavuYupo ana enjoy na mcheza rede wa taifa